Fukara
JF-Expert Member
- Dec 28, 2013
- 1,624
- 931
this is an opportunity for UKAWA
UKAWA wanachukua nchi
this is an opportunity for UKAWA
Kikwete ni mzalendo ndio anataka ampe ndugu yake kawaulizeni jimbo la mtama anapotokea membe jinsi wanavyolia
Jamaa kachinjiwa kamati ya maadili yani
Urafiki katika mambo ya msingi, unawekwa pembeni. Lowassa bana, amekosea strategy, nilisema hapa kuwa timing yake haikuwa nzuri katika harakati zake, ilikua kama anaforce kuwa rais, eti kwasababu tu waliahidiana na Kikwete.
Lowassa alikuwa ana jikomba kwa JK wakati Jk alikuwa mbali naye.
Kikwete ni mzalendo wa nchi hii. Amekataa kumpa rafiki yake nchi kwa maana anamjua vizuri ni mwizi na atawaibia Watanzania.
Sawa, let us agree Lowassa hafai, lakini katika hiyo tano hapo hakuna anayefaa pia. Target hapa apewe Membe, kweli kabisa nchi hii iongozwe na Membe? Bora hata angepewa Mizengo au Muhongo.