Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,384
- 11,281
na hawezi kuitosa CCM kwa kuwawekea Lowassa akapambane na UKAWAMkuu,
Mimi huwa siziamini kauli za Rais Jakaya Kikwete.
Rais Kikwete hutaka kufurahisha/kuridhisha kila mtu kitu ambacho hakifai kwa kiongozi mkuu.
Nadhani hutashangaa kesho ukimsikia akitoa kauli nyingine.
Rais Kikwete ni kama kinyonga kwenye kutoa maamuzi ya kitaifa.
UKAWA wanataka mteremko LOWASSA kwani wao ndio watakaoporomosha madhambi yote wavuke kidedea
Matola janja ya nyani kwisha gundua
subirini 2020 au 2025 mtawekewa Lowassa sio sasa