Masikini mzee wa watu.....
Who controls the past controls the future.
Who controls the present controls the past.
- George Orwell
Tajiri Lowasa......Masikini Lowassa.....
Mi namuonea huruma tehSijui atakuwa kwenye hali gani muda huu aisee
"Mimi na Kikwete hatujakutana barabarani, urafiki umetoka mbali. Nilimuunga mkono 2005 hivyo safari hii naamini ataniunga mkono"