Rais Kikwete: Sina mgombea Urais

Rais Kikwete: Sina mgombea Urais

Am I my brother's keeper ??
Je, kwan mi ni mlinzi wa ndugu yangu ??

Walisalitiana Cain na Abel ndugu wa damu sembuse hawa ??
 
Inanukumbusha wimbo wa Bob Marley unaoitwa ' Who the cap fit, let them wear it'
 
Katika kazi urafiki pembeni kwanza.. Na nahisi Lowassa angepita, zingetokea threads nyingi sana za kumdiss Jakaya kwa kumpa rafiki yake nchi.

Kumpa nchi.?
we ni mjinga kweli, wananchi ndio wenye hatima ya kumpa au la.?
 
kikwete ni mnoma sana na aliogopa jamaa akipita atamfanyia kitu mbaya sana ukiangalia kwa jicho la tatu membe ndii kila kitu
 
Unamkumbuka kocha wa manchester united alex furguson alivyomrushia kiatu staa david beckham?

Unajua kwa nini Jose Mourinho na Christiano Ronaldo hawapatani japo wanatoka nchi moja?

Kwenye uongozi kuna nadharia moja kuwa usikubali kufunikwa na surbodinate wako au fahari wawili hawakai zizi moja ,iko hivi.

mwalimu nyerere alitawala kwa raha sana chini ya kawawa kama msaidizzi wake lakini cha moto alikiona kwa watu kama Kambona na Mtei waliotaka kumfunika,hata Sokoine alitaka kumfunika akaishia njiani.

Mzee Mkapa alitawala kwa raha sana na serikali yake ilikuwa imara kwa sababu Sumaye hakuwa tishio kwake na baada ya Dk Omari kufa alipomteua dk mohamed shein kila mtu alijiuliza huyu ndio nani,hakuna aliyemjua,mkapa hakuwa mjinga.

Kikwete na Lowassa wana nyota zinazoshabihiana isingewezekana wakafanya kazi pamoja ,Lowassa alikuwa anaelekea kumfunika bosi wake so hakukuwa na jinsi isipokuwa kurushiwa kiatu kama Beckham na Alex Furguson
 
Kaka sio kikwete alomkataa lowassa, lowassa hakutakiwa na wazee hasa mkapa, mangula, msekwa, malecela, msuya hata na sumaye hataki hata kumsikia lowassa, mwinyi si sana, yupo somehow fair kwa lowassa. Tusipende kumuangushia kila mzigo kikwete, tutajipatisha madhambi bure. Hawa wazee wanamjua sana lowassa, na sijui hata kwa nini hawamtaki kiasi hiki.
 
hata JK hakuwa chaguo la bahadhi ya watu ndani ya ccm ila mkapa alisoma alama za nyakati akawapuuza
 
Lowasa na JK nimarafiki, hii ni mbinu ya JK kuitosa CCM kiaina, hata ukitizama huko chadema Lowasa hatumii system ya chadema, yuko na team yake japo akina mbatia anajaribu kujikomba lakini naona kama anapoteza muda wake.

Lowasa hatumii gari moja na ofisa yeyote wa chadema wala hasafiri nao ndege moja, hapo ndo ujue nini kinachotokea.

Turudi nyuma JK amekuwa anafanya mambo mengi ya kuwadhalilisha wana ccm ikiwemo kuvuruga mchakato wa katiba mpya dakika za mwishoni, kufukuza ovyo mawaziri. Na alishawambia wajiandae kisaikolojia.
 
hata jk hakuwa chaguo la bahadhi ya watu ndani ya ccm ila mkapa alisoma alama za nyakati akawapuuza

kaka mkapa ni humble sana kwa kikwete kwa taarifa yako, na wanaelewana sana tu, and between them is magufuli
 
Eti hebu fafanua,unamaana Mkulu ndo anatoboa boti aliyopanda??
Lowasa na JK nimarafiki, hii ni mbinu ya JK kuitosa CCM kiaina, hata ukitizama huko chadema Lowasa hatumii system ya chadema, yuko na team yake japo akina mbatia anajaribu kujikomba lakini naona kama anapoteza muda wake.

Lowasa hatumii gari moja na ofisa yeyote wa chadema wala hasafiri nao ndege moja, hapo ndo ujue nini kinachotokea.

Turudi nyuma JK amekuwa anafanya mambo mengi ya kuwadhalilisha wana ccm ikiwemo kuvuruga mchakato wa katiba mpya dakika za mwishoni, kufukuza ovyo mawaziri. Na alishawambia wajiandae kisaikolojia.
 
Acha kupotosha mboa juzi alipokuwa moshi alipanda gari moja na Ndesamburo?
 
Lowasa na JK nimarafiki, hii ni mbinu ya JK kuitosa CCM kiaina, hata ukitizama huko chadema Lowasa hatumii system ya chadema, yuko na team yake japo akina mbatia anajaribu kujikomba lakini naona kama anapoteza muda wake.

Lowasa hatumii gari moja na ofisa yeyote wa chadema wala hasafiri nao ndege moja, hapo ndo ujue nini kinachotokea
Turudi nyuma JK amekuwa anafanya mambo mengi ya kuwadhalilisha wana ccm ikiwemo kuvuruga mchakato wa katiba mpya dakika za mwishoni, kufukuza ovyo mawaziri. Na alishawambia wajiandae kisaikolojia.
acha kupotosha mboma juzi alipokuwa moshi alipanda gari moja na ndesamburo
 
Eti hebu fafanua,unamaana Mkulu ndo anatoboa boti aliyopanda??

Hili liliwahi kufanywa na Jerry Rawlings, alikitosha chama chake dakika za mwisho, hata Malawi mchezo huu ulifanyika pia.

uchaguzi wa 2010, wana ccm walimsusia JK akaamua kukomaa yeye na wanae akisaidiana na watu wa usalama, alivyoponyoka tu mambo mengi alianza kushirikiana na cdm.
 
acha kupotosha mboma juzi alipokuwa moshi alipanda gari moja na ndesamburo

Ndesamburo ni mtu muhimu kwa lowasa kwani anamiliki helkopta hivyo msaada wa ndesamburo unahitajika zaidi. Lowasa alikuwa mbeya jana na leo yuko arusha huwezi kutoka mbeya jioni leo uwe arusha na kesho uwe mwanza bila kutumia ndege ya kukodi, sidhani kama maofisa wa chadema wanao huo uwezo.
 
Kaka sio kikwete alomkataa lowassa, lowassa hakutakiwa na wazee hasa mkapa, mangula, msekwa, malecela, msuya hata na sumaye hataki hata kumsikia lowassa, mwinyi si sana, yupo somehow fair kwa lowassa. Tusipende kumuangushia kila mzigo kikwete, tutajipatisha madhambi bure. Hawa wazee wanamjua sana lowassa, na sijui hata kwa nini hawamtaki kiasi hiki.

km hujui kitu bora unyamaze tu..unajiaibisha
 
Back
Top Bottom