Nyamizi
Platinum Member
- Feb 19, 2009
- 9,193
- 13,739
Aaaha mkuu Matola nimekosa majibu ya maswali yako kwa kweli, kwa mtazamo huo nakubaliana na wewe
Inamaana kumbe ni kesi ya ngedele hakimu nyani, teh teh teh
Ila hata mimi naamini kabisa jina la edo likipita kwenye hizo kamati mbili tu za mwanzo, kweli tutaona manyoa tu!!
Na hapa unakuta kina Nape ama hawajui kinachoendelea au wanajua lakini bado wako kwenye denial thinking kuna Miujiza yaweza tokea.
Huyu Lowassa sasa hivi angekuwa Historia kama enzi za kuvua gamba wangetenda kile walichokuwa wanatuhubiria kumvua Gamba,kama ilishindikana kipindi hicho sioni muujiza ukitendeka sasa hivi kwenye dakika za lala salama!