Rais Kikwete nchi imemshinda mwanzo mwisho

Rais Kikwete nchi imemshinda mwanzo mwisho

Umeandika povu kubwa Nyau weeee namwehu, akili zako sawa na zero, je baba yako ndo angekuwa JK ungeongea huo upuuzi wako humu ndani?


duu siku mingi ningemuwekea ya panya...hasa ukizingatia tembo wengi kufa na wanyama kusafirishwa nje kienyeji
 
CCM itashinda hata kwa goli la mkono hutaki hamia Congo!!
 
Prapaganda mnafazifanya mpaka kwenye mambo muhimu kwa TAIFA,Wakati uhalisia wa kujinasua kwenye umaskini kwa WANANCHI ni Sifuri yenye masikio. SHAME ON YOU!!!

Kama watu wanajilimbikizia mamillion wenyewe waliopo madarakani unategemea nini? Per capital itakuwa kubwa lakini uhalisia wengi wa watu masikini kabisa wanafukiwa na average kutokana na wao kuwa na income kubwa..

Sijaiweka vizuri sana lakini picha imeeleweka
 
Eti japo nimekuwa wa mwisho lakini nimemaliza mbio.....Ukichelewa kuondokana na umasikini kwa ujinga wala usijisifie utakapokuwa umepanda

Umasikini wa leo wa Tanzania unaufananisha na awamu ipi iliyopita?
 
JK atavunja rekodi za kusarifi nje ya nchi kuliko maraisi wote waliokuwepo madarakani tanzania
 
''Hata Japani ambaye anatudai deni kubwa sana anadaiwa, kudaiwa ni kawaida watanzania wasiwe na wasiwasi na deni la taifa", Mh waziri... Hapo nikajiuliza.. kama Japan anadaiwa bill 20 halafu anadai trill 20 tunawezaje kujilinganisha nae kwa kigezo tu eti na yeye anadaiwa????? Nchi ngumu hii
 
Wewe maisha bora unayapimaje dadaaaa, unajinasuaje kupanda kwa dola kusiathiri uchumi wa nchi yako changa (kwa zaidi ya miaka 50)?

Kwanza kabisa unayapima maisha bora kwa afya yako, ukiwa huna afya huna maisha kabisa.

Na Kikwete katutoa kwenye miaka chini ya 50 ya life expectancy alivyochukuwa nchi miaka 9 iliyopita mpaka katufikisha miaka ya zaidi ya 62.
 
Life means what? Usijitoe akili mfumuko wa bei umekua kwa kasi mno...hii ni ishara mbaya kwa maendeleo ya taifa....imagine hadi vijana wa Kitano cha hawajaenda shule. Pia kwenye miaka huyu tumeshuudia mara kadhaa zinafungwa kutokana na wazabuni kugoma kupeleka chakula ....ni aibu kwa miaka zaidi 50 kuwa na mambo ya hivyo kiasi hicho
 
Eti japo nimekuwa wa mwisho lakini nimemaliza mbio.....Ukichelewa kuondokana na umasikini kwa ujinga wala usijisifie utakapokuwa umepanda

Nchi hazina mwanzo wala mwisho, wenye mwanzo na mwisho ni sisi raia, mwanzo wako kuzaliwa mwisho wako wa hapa duniani ni kufa.
 
Kwanza kabisa unayapima maisha bora kwa afya yako, ukiwa huna afya huna maisha kabisa.

Na Kikwete katutoa kwenye miaka chini ya 50 ya life expectancy alivyochukuwa nchi miaka 9 iliyopita mpaka katufikisha miaka ya zaidi ya 62.

Hakuna utawala ambao umasikini umeongezeka kwa kasi kubwa kwa wananchi kama huu utawala Jakaya Mrisho Kikwete
wewe faizFoxy kama unaishi maisha mazuri mshukuru Mungu huko vijijini watu wanateseka sana mtu anatumia 2000 kwa siku nzima kulisha familia ya watu 6 bado nyie mnakuja hapa JF kujigamba tumsifu raisi kwa lipi .
 
Last edited by a moderator:
Umasikini wa leo wa Tanzania unaufananisha na awamu ipi iliyopita?
umasikini wa leo umevunja rekodi za duniani umeongezeka kwa kiasi kikubwa sana bora maraisi wote waliotangulia kuongoza
 
Nimejaribu kufuatilia kwa makini na hatua kwa hatua tangu huyu mzee aingie madarakani ili nibaini ni kipi ametenda hata tumkumbuke baada ya kuondoka kwake madarakani Octoba 2015. Nimegundua kwa 97% mkuu wa kaya ameshindwa vibaya mno kuleta MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA aliyotuahidi.

Mh.MKAPA alimwambia nakuachia Nchi kama ni Ndege wakati huo ilikuwa iko kwenye RUNNING,Alichopaswa kufanya ni kuipaisha tu ili ikifika Octoba ili ndege hio itue ikiwa imesheheni unono na urojorojo, Uchumi ulioimara kwa kila MWANANCHI. BADALA YAKE NDEGE HIO JK ALIIZIMA,

Tumaini la Wananchi likapotea, kila kitu kikavurugika:-

-Mfumko wa bei kwa BIDHAA zote ukawa juu.

-Shillingi yetu ikaporomoka kwa KASI MPYA,NGUVU MPYA na ARI MPYA.

-Tatizo la umeme mpaka kesho ni kitendawili Nchini.

-Ujambazi umerudi kama ilivyokuwa zama za kale hadi Polisi wanauawa na silaha kuibiwa VITUONI.

-Ziara za nje ya Nchi za kutembeza BAKULI LA OMBA OMBA (BLO)Awamu ya nne inaongoza kwa safari zenye kulitia hasara Taifa letu.

-Waandishi wa Habari na Wanaharakati kuuawa na kuteswa.

-Umwagaji damu usio wa lazima kutokea kwenye maandamano.

-Ajali na ongezeko la vifo na vilema vimekithiri awamu ya nne.

-Mikataba mingi inayohusu RASILIMALI ZETU imesainiwa kwa SIRI na WACHINA bila Raia kujua kinachoendelea ndani yake.

-KATIBA PENDEKEZWA ni kiini macho uhalisia UMEENGULIWA na BATILI imewekwa mbele.

-DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA -Uandikishwaji wake unacheleweshwa kwa MAKUSUDI.

-Hata ndani ya CCM uchaguzi wa kumpata Mgombea Urais hali ni tete mpaka leo.

Kwa uchache tu haya ni baadhi ya mambo yanayoonesha kuwa NCHI IMEMSHINDA JK MWANZO MWISHO.

RAIS ajaye anatakiwa awe ngangari kweli kweli la sivyo JAHAZI LITAZAMA.

Nakuunga mkono 100 %
 
Kaachiwa na nani wewe? wacha uongo.

Uchumi wa Tanzania ya leo si uchumi wa Tanzania aliyochukuwa Kikwete. Tulikuwa hatuna reserve ya pesa za nje hata ya mwezi mmoja leo tuna ya miezi minne.

Fikiri.

Acha uongo wewe ndio hujui. Kwanza hujui hata aliyemwachia nchi, ni mkapa. Aliachiwa akiba ya miezi 8 yeye jk hataacha hata ya mwezi mmoja.
 
Back
Top Bottom