Rais Kikwete nchi imemshinda mwanzo mwisho

tena huyu jk nusura atuingize kwenye vita na majirani zetu .rejea migogoro na mahusiano mabovu na Rwanda ,malawi na kenya
 
Ngonjera tu za watanzani hzi,wasomi kibao
but useless,elimu wanasoma ili wakaibe,kwenye michango wako very active
and samrt, wape kazi sasa ni kulialia na kuiba kizazi kilicholaaniwa
hata ungekuja na paper yako hapa so long as hulisaidii taifa kutoka hapa
ua nonsense, we want to move now usiniletee story zako hapa masikini ni masikini tu
hata awe Marekani masikini tu,usijifanye janja widi hapa tokaa!
watu kama nyie ukute ndio mnaowazuia wasomi wetu kuleta mabadiliko ilani yenyewe mshaitengeneza tayari, wakati wapanga budget wengine sasa sijui vipaumbele vipo coordinated vipi na budget ili kufikia malengo let alone supervision za utekelezaji no wonder kila ripoti la CAG ikija uchafu mtupu huko chamani nako mnamsumbua mzee kinana kuzunguka nchi nzima badala ya kukinyoosha chama na wanachama wake waliokosa adabu.

Ngojea January au Mwigulu wawe maraiasi wamesema mambo yatabadilika msichawachachue tu kwenye mchakato watawafunga wote nyie mafisadi, well even Chikawe na Membe wana agenda anza kujificha tu kwa kuzuia maendeleo ya muda mrefu mtu gani mwenye msimamo potofu na usiyetaka kuelewa lazima unahusika kuzuia maendeleo wewe.
 
Maisha bora unayapima kwa kupanda na kushuka kwa dollar ya Kimerekani?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Kwani siyo kipimo cha uchumi kushuka.Na je mleta mada hakuainisha sababu yingine zaidi ya hiyo?
Anyway Ramadhan Kareem
 
Tofauti yako na yangu ni kuwa wewe shule ulienda kusomea ujinga.

Kuwa na material ndiyo kwako utajiri, kwangu mimi kuwa happy na afya njema na kuwa na basics za kukufanya uishi ndiyo utajiri. Kula wali na nyama ni chakula basic kwangu na kula ugali na maharage ni basic kwa mwengine, hata umpe wali na nyama hatoridhika - kumbuka hilo.

Kikwete katutowa kwenye life expectancy ya miaka chini ya 50 alipokabidhiwa nchi miaka 9 iliyopita, leo tupo kwenye life expectancy ya miaka 62. Dogo hilo? compare na miaka 43 life expectancy tuliyowachiwa na awamu ya kwanza.

Hivi unataka kufafananisha Tanzania ya leo na awamu ipi iliyopita kwa umasikini?
Sasa nani kasomea ujinga huko shule we bibi kati yetu wakati wewe ujui even what constitute absolute poverty today.

Kuwa na basic needs is the old measurement hapa wala sizungumzi chochote above those criterias za kula ugali na maharage na kuishi nyumba ya udongo.

Ni hivi wigo la kuangalia umaskini or well-being ya afya sio basics needs are to be considered for you to be poor, nor not having sickness ndio afya dunia ya leo. Basic needs zina angalia familia ya mtu na uhusiano wake na jamii, reasoning ya mtu (elimu pia ni afya na kipimo cha umaskini kwa sababu inampunguzia binadamu mbinu na reason ability to take life chances, making right health choices and taking opportunities) vitu vipo holistic sasa haya matokeo ya watu kufeli, uhaba wa access za zahanati, ujinga wa kuuwa albino, failing to meet ends needs in addition to human holistic needs.

Hivi wewe kwa akili zako unaweza fananisha Tanzania na Marekani kwa umaskini its not hard nani alisomea ujinga huko shuleni kati ya mimi na wewe.
 
Umasikini wa Tanzania unataka kuulinganisha na tuliokuwa nao awamu ipi zilizopita?. Hicho ndicho cha muhimu.

Poverty ya mwengine ni utajiri kwako na poverty yako ni utajiri kwa mwengine - kumbuka hilo.

Tanzania ya leo tupo kwenye neema, umewahi kuishi wakati wa kukaa foleni za chakula Tanzania hii (awamu ya kwanza)?

Mda mwingine nakuoneaga huruma sana jinsi unavyoangaika na hawa watu wengi wao humu ni kizazi cha miaka ya 90 hakuna wanachoelewa siasa za maji taka zimewajaa kichwani kila kitu kwao ni siasa tu.

Tena unakuta shule za kata ndio zimewafanya leo hii tuwaite wasomi lakini bado wanatukana serikali,leo hii miundo mbinu tz ya kueleweka tofauti na awamu zote hawalioni,leo hii kero ya umeme imepungua kwa kiasi kikubwa shukrani hamna,ajira kwa vijana wamepata,huduma za afya zimeboreshwa lakini bado hawataki sasa wanataka nini hawa?

Hawa ni sikio la kufa wakuonewa huruma tu wamepandishiwa mishahara wamenunua sijui vitz na passo basi kila mtu kidume. Wamepata uhuru wa vyombo vya habari basi shukrani ni kutukana tu mbona hawamu zilizopita haya mambo hayakuwepo tena hakukuwa na miundo mbinu,huduma za afya,umeme wala maji mishahara mibovu,shulehakuna,ajira shida,uhuru wa kuhoji haukuwepo

Jibu zuri kwao kana maisha magumu wahamie CONGO au SOMALIA watuachie nchi yetu.
 
Sasa nani kasomea ujinga huko shule we bibi kati yetu wakati wewe ujui even what constitute absolute poverty today.

Kuwa na basic needs is the old measurement hapa wala sizungumzi chochote above those criterias za kula ugali na maharage na kuishi nyumba ya udongo.

Ni hivi wigo la kuangalia umaskini or well-being ya afya sio basics needs are to be considered for you to be poor, nor not having sickness ndio afya dunia ya leo. Basic needs zina angalia familia ya mtu na uhusiano wake na jamii, reasoning ya mtu (elimu pia ni afya na kipimo cha umaskini kwa sababu inampunguzia binadamu mbinu na reason ability to take life chances, making right health choices and taking opportunities) vitu vipo holistic sasa haya matokeo ya watu kufeli, uhaba wa access za zahanati, ujinga wa kuuwa albino, failing to meet ends needs in addition to human holistic needs.

Hivi wewe kwa akili zako unaweza fananisha Tanzania na Marekani kwa umaskini its not hard nani alisomea ujinga huko shuleni kati ya mimi na wewe.

Wewe ungekuwa na "absolute poverty" ungeingia saa hizi JF?

Nimekuuliza swali juu huko, mbona unalikwepa?

Jee, umeshawahi kukaa foleni ya chakula Tanzania hii? Tena kuanzia saa 10 za alfajiri mpaka saa tano asubuhi na hujuwi utakipata nini siku hiyo katika hiyo foleni?
 
Sasa nani kasomea ujinga huko shule we bibi kati yetu wakati wewe ujui even what constitute absolute poverty today.

Kuwa na basic needs is the old measurement hapa wala sizungumzi chochote above those criterias za kula ugali na maharage na kuishi nyumba ya udongo.

Ni hivi wigo la kuangalia umaskini or well-being ya afya sio basics needs are to be considered for you to be poor, nor not having sickness ndio afya dunia ya leo. Basic needs zina angalia familia ya mtu na uhusiano wake na jamii, reasoning ya mtu (elimu pia ni afya na kipimo cha umaskini kwa sababu inampunguzia binadamu mbinu na reason ability to take life chances, making right health choices and taking opportunities) vitu vipo holistic sasa haya matokeo ya watu kufeli, uhaba wa access za zahanati, ujinga wa kuuwa albino, failing to meet ends needs in addition to human holistic needs.

Hivi wewe kwa akili zako unaweza fananisha Tanzania na Marekani kwa umaskini its not hard nani alisomea ujinga huko shuleni kati ya mimi na wewe.

Hivi unataka kufafananisha Tanzania ya leo na awamu ipi iliyopita kwa umasikini?
 
watu kama nyie ukute ndio mnaowazuia wasomi wetu kuleta mabadiliko ilani yenyewe mshaitengeneza tayari, wakati wapanga budget wengine sasa sijui vipaumbele vipo coordinated vipi na budget ili kufikia malengo let alone supervision za utekelezaji no wonder kila ripoti la CAG ikija uchafu mtupu huko chamani nako mnamsumbua mzee kinana kuzunguka nchi nzima badala ya kukinyoosha chama na wanachama wake waliokosa adabu.

Ngojea January au Mwigulu wawe maraiasi wamesema mambo yatabadilika msichawachachue tu kwenye mchakato watawafunga wote nyie mafisadi, well even Chikawe na Membe wana agenda anza kujificha tu kwa kuzuia maendeleo ya muda mrefu mtu gani mwenye msimamo potofu na usiyetaka kuelewa lazima unahusika kuzuia maendeleo wewe.

Wewe ni mzigo,ngojera tu
bado kidogo utweka vina
na viitikio,wewe wa wapi?
 
Wewe ungekuwa na aboslute pverty ungeingia saa hizi JF?
Unajuaje labda nipo kwenye mgahawa natumia computer za boss

Jee, umeshawahi kukaa foleni ya chakula Tanzania hii? Tena kuanzia saa 10 za alfajiri mpaka saa tano asubuhi na hujuwi utakipata nini siku hiyo katika hiyo foleni?
Nilipanga foleni siku ya gari la ushirika wa chakula lilipokuwa linakuja mtaani kwetu tena kipindi ambacho nwalimu alipokuwa hayuko madarakani sasa given the resources exploited then and now, the level of the budget, jinsi tunavyogawana utajiri wa taifa sio sawa leo watu wana lala chini hospitalini miaka hiyo watu walikuwa awalali chini hospitalini, leo tumekaribisha kuwekeza wageni ajira bado tatizo, leo tuna soko huria mazao bado ayana masoko uwezi kufananisha siasa za nyakati tofauti kwa sera zilizokuwa tofauti kama kipimo cha muda muda, mazingira sio sahihi ni kipi umefanya kutokana na mazingira ya siasa na given the resources ndio kipimo mimi namsifia JK sehemu moja tu kutaka watu waone na wakosoe na hicho ndio muhimu kwenye siasa.

Hivi unataka kufafananisha Tanzania ya leo na awamu ipi iliyopita kwa umasikini?
Inequality gap and wasteful of resources is major kupita kipindi chochote katika uhuru wa taifa la Tanzania

Wewe ni mzigo,ngojera tu bado kidogo utweka vina na viitikio,wewe wa wapi?
Lazima una matatizo sio bure bado tu muda wako ku-staafu mawazo yako ni mgando wewe.
 
Mda mwingine nakuoneaga huruma sana jinsi unavyoangaika na hawa watu wengi wao humu ni kizazi cha miaka ya 90 hakuna wanachoelewa siasa za maji taka zimewajaa kichwani kila kitu kwao ni siasa tu.

Tena unakuta shule za kata ndio zimewafanya leo hii tuwaite wasomi lakini bado wanatukana serikali,leo hii miundo mbinu tz ya kueleweka tofauti na awamu zote hawalioni,leo hii kero ya umeme imepungua kwa kiasi kikubwa shukrani hamna,ajira kwa vijana wamepata,huduma za afya zimeboreshwa lakini bado hawataki sasa wanataka nini hawa?

Hawa ni sikio la kufa wakuonewa huruma tu wamepandishiwa mishahara wamenunua sijui vitz na passo basi kila mtu kidume. Wamepata uhuru wa vyombo vya habari basi shukrani ni kutukana tu mbona hawamu zilizopita haya mambo hayakuwepo tena hakukuwa na miundo mbinu,huduma za afya,umeme wala maji mishahara mibovu,shulehakuna,ajira shida,uhuru wa kuhoji haukuwepo

Jibu zuri kwao kana maisha magumu wahamie CONGO au SOMALIA watuachie nchi yetu.

we ujui kwamba wananchi wamejitambua ndio maana wanaongea chochote uo c uhuru ni kujielewa kwa wananchi na waandish ambao c waoga tena kama zamn
 
Unajuaje labda nipo kwenye mgahawa natumia computer za boss

Nilipanga foleni siku ya gari la ushirika wa chakula lilipokuwa linakuja mtaani kwetu tena kipindi ambacho nwalimu alipokuwa hayuko madarakani sasa given the resources exploited then and now, the level of the budget, jinsi tunavyogawana utajiri wa taifa sio sawa leo watu wana lala chini hospitalini miaka hiyo watu walikuwa awalali chini hospitalini, leo tumekaribisha kuwekeza wageni ajira bado tatizo, leo tuna soko huria mazao bado ayana masoko uwezi kufananisha siasa za nyakati tofauti kwa sera zilizokuwa tofauti kama kipimo cha muda muda, mazingira sio sahihi ni kipi umefanya kutokana na mazingira ya siasa na given the resources ndio kipimo mimi namsifia JK sehemu moja tu kutaka watu waone na wakosoe na hicho ndio muhimu kwenye siasa.

Inequality gap and wasteful of resources is major kupita kipindi chochote katika uhuru wa taifa la Tanzania

Lazima una matatizo sio bure bado tu muda wako ku-staafu mawazo yako ni mgando wewe.

Wacha uongo.

Huyo "nwalimu" wako alipoondoka madarakani na foleni za vyakula zikawa ndiyo mwisho.

Hivi hizo shule mlienda kusomea uongo?
 
Mda mwingine nakuoneaga huruma sana jinsi unavyoangaika na hawa watu wengi wao humu ni kizazi cha miaka ya 90 hakuna wanachoelewa siasa za maji taka zimewajaa kichwani kila kitu kwao ni siasa tu.

Tena unakuta shule za kata ndio zimewafanya leo hii tuwaite wasomi lakini bado wanatukana serikali,leo hii miundo mbinu tz ya kueleweka tofauti na awamu zote hawalioni,leo hii kero ya umeme imepungua kwa kiasi kikubwa shukrani hamna,ajira kwa vijana wamepata,huduma za afya zimeboreshwa lakini bado hawataki sasa wanataka nini hawa?

Hawa ni sikio la kufa wakuonewa huruma tu wamepandishiwa mishahara wamenunua sijui vitz na passo basi kila mtu kidume. Wamepata uhuru wa vyombo vya habari basi shukrani ni kutukana tu mbona hawamu zilizopita haya mambo hayakuwepo tena hakukuwa na miundo mbinu,huduma za afya,umeme wala maji mishahara mibovu,shulehakuna,ajira shida,uhuru wa kuhoji haukuwepo

Jibu zuri kwao kana maisha magumu wahamie CONGO au SOMALIA watuachie nchi yetu.

Mkuu mbona unatoa porojo tu hata basic data huweki? Weka statistics wasomi tukuelewe
 
"Mtu asipojua aendako hawezi kupotea...."
Kikwete na wafuasi wake wanaamini wako vizuri sana....
Labda mnisaidie kuwauliza ni kipi walichoanzisha na kukisimamia hadi mwisho...??
Maisha Bora....?
Kasi Mpya...??
Mamilioni ya Kikwete..??
Orodha ya wauza unga, waua Albino...??
Kilimo kwanza...??
Operesheni tokomeza...??
Katiba Mpya...??
Maabara kila kata...??
Vituo vya afya kila kata...??
Kuwavua gamba mapacha watatu...??

Ukimuuliza vyote hivyo hajui. Kafanya nini hajui. Kashindwa wapi hajui. Yaani hajui
 
Nimejaribu kufuatilia kwa makini na hatua kwa hatua tangu huyu mzee aingie madarakani ili nibaini ni kipi ametenda hata tumkumbuke baada ya kuondoka kwake madarakani Octoba 2015. Nimegundua kwa 97% mkuu wa kaya ameshindwa vibaya mno kuleta MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA aliyotuahidi.

Mh.MKAPA alimwambia nakuachia Nchi kama ni Ndege wakati huo ilikuwa iko kwenye RUNNING,Alichopaswa kufanya ni kuipaisha tu ili ikifika Octoba ili ndege hio itue ikiwa imesheheni unono na urojorojo, Uchumi ulioimara kwa kila MWANANCHI. BADALA YAKE NDEGE HIO JK ALIIZIMA,

Tumaini la Wananchi likapotea, kila kitu kikavurugika:-

-Mfumko wa bei kwa BIDHAA zote ukawa juu.

-Shillingi yetu ikaporomoka kwa KASI MPYA,NGUVU MPYA na ARI MPYA.

-Tatizo la umeme mpaka kesho ni kitendawili Nchini.

-Ujambazi umerudi kama ilivyokuwa zama za kale hadi Polisi wanauawa na silaha kuibiwa VITUONI.

-Ziara za nje ya Nchi za kutembeza BAKULI LA OMBA OMBA (BLO)Awamu ya nne inaongoza kwa safari zenye kulitia hasara Taifa letu.

-Waandishi wa Habari na Wanaharakati kuuawa na kuteswa.

-Umwagaji damu usio wa lazima kutokea kwenye maandamano.

-Ajali na ongezeko la vifo na vilema vimekithiri awamu ya nne.

-Mikataba mingi inayohusu RASILIMALI ZETU imesainiwa kwa SIRI na WACHINA bila Raia kujua kinachoendelea ndani yake.

-KATIBA PENDEKEZWA ni kiini macho uhalisia UMEENGULIWA na BATILI imewekwa mbele.

-DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA -Uandikishwaji wake unacheleweshwa kwa MAKUSUDI.

-Hata ndani ya CCM uchaguzi wa kumpata Mgombea Urais hali ni tete mpaka leo.

Kwa uchache tu haya ni baadhi ya mambo yanayoonesha kuwa NCHI IMEMSHINDA JK MWANZO MWISHO.

RAIS ajaye anatakiwa awe ngangari kweli kweli la sivyo JAHAZI LITAZAMA.
Umeandika povu kubwa Nyau weeee namwehu, akili zako sawa na zero, je baba yako ndo angekuwa JK ungeongea huo upuuzi wako humu ndani?
 
Unajuaje labda nipo kwenye mgahawa natumia computer za boss

Nilipanga foleni siku ya gari la ushirika wa chakula lilipokuwa linakuja mtaani kwetu tena kipindi ambacho nwalimu alipokuwa hayuko madarakani sasa given the resources exploited then and now, the level of the budget, jinsi tunavyogawana utajiri wa taifa sio sawa leo watu wana lala chini hospitalini miaka hiyo watu walikuwa awalali chini hospitalini, leo tumekaribisha kuwekeza wageni ajira bado tatizo, leo tuna soko huria mazao bado ayana masoko uwezi kufananisha siasa za nyakati tofauti kwa sera zilizokuwa tofauti kama kipimo cha muda muda, mazingira sio sahihi ni kipi umefanya kutokana na mazingira ya siasa na given the resources ndio kipimo mimi namsifia JK sehemu moja tu kutaka watu waone na wakosoe na hicho ndio muhimu kwenye siasa.

Inequality gap and wasteful of resources is major kupita kipindi chochote katika uhuru wa taifa la Tanzania

Lazima una matatizo sio bure bado tu muda wako ku-staafu mawazo yako ni mgando wewe.

Mawazo yako tayari yalishaganda,
ukitembea juani ndio yanayeyuka
AFu unakurupukia JF kula za uso!
 
Maisha bora unayapima kwa kupanda na kushuka kwa dollar ya Kimerekani?

Hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?

Wewe maisha bora unayapimaje dadaaaa, unajinasuaje kupanda kwa dola kusiathiri uchumi wa nchi yako changa (kwa zaidi ya miaka 50)?
 
Back
Top Bottom