Rais Kikwete nchi imemshinda mwanzo mwisho

Matusi hayo.

Hamna cha kumgusa, siku zote nnawaambia tumlinganishe na Rais yeyote wa Tanzania wa kabla yake au wote kwa pamoja. Tuone nani zaidi. Mnashindwa.
mlinganishe na viwango(standards) usimlinganishe na mtu
 
Mwenyezi Mungu akusaidie upanue ubongo wako walau nchi moja tu. Maana unapofusha mambo kwa makusudi tu, ili upate mkate wako wa kila siku.
 
Hiyo ni open challenge nataka tuanze kwa kulinganisha viongozi watatu wa nchi hii waliopita kabla ya Kikwete toka tupate Uhuru, tulinganishe mafanikio yao kwenye nyanja yoyote ile uipendayo, tuone ni nani zaidi.

Tena nnakupa "handicap" wachanganye wote watatu waliopita kwa ujumla tulinganishe mafanikio yao kwa pamoja kwa miaka yao zaidi ya 44 waliotawala tufananishe na miaka 9 tu ya Kikwete.

Tuanze...
 
mlinganishe na viwango(standards) usimlinganishe na mtu

Linganisha na chochote upendacho, anza na chochote, mimi nipo tayari na hii ni open challenge, saidianeni wote, nnawahakikishia ntawatoa kapa kwa sababu moja tu. Hakuna anaemfikia Kikwete kwa chochote katika waliopita kabla yake.
 
Hiyo ni open challenge nataka tuanze kwa kulinganisha viongozi watatu wa nchi hii waliopita kabla ya Kikwete toka tupate Uhuru, tulinganishe mafanikio yao kwenye nyanja yoyote ile uipendayo, tuone ni nani zaidi.

Tena nnakupa "handicap" wachanganye wote watatu waliopita kwa ujumla tulinganishe mafanikio yao kwa pamoja kwa miaka yao zaidi ya 44 waliotawala tufananishe na miaka 9 tu ya Kikwete.

Tuanze...

Faiza, Hivi huyu anae andikwa andikwa humu na picha zake zinapita uchiuchi,kisasakisasa, Ndiyo WEWE?
 
Nimejaribu kufuatilia kwa makini na hatua kwa hatua tangu huyu mzee aingie madarakani ili nibaini ni kipi ametenda hata tumkumbuke baada ya kuondoka kwake madarakani Octoba 2015. Nimegundua kwa 97% mkuu wa kaya ameshindwa vibaya mno kuleta MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA aliyotuahidi.

Mh.MKAPA alimwambia nakuachia Nchi kama ni Ndege wakati huo ilikuwa iko kwenye RUNNING,Alichopaswa kufanya ni kuipaisha tu ili ikifika Octoba ili ndege hio itue ikiwa imesheheni unono na urojorojo, Uchumi ulioimara kwa kila MWANANCHI. BADALA YAKE NDEGE HIO JK ALIIZIMA,

Tumaini la Wananchi likapotea, kila kitu kikavurugika:-

-Mfumko wa bei kwa BIDHAA zote ukawa juu.

-Shillingi yetu ikaporomoka kwa KASI MPYA,NGUVU MPYA na ARI MPYA.

-Tatizo la umeme mpaka kesho ni kitendawili Nchini.

-Ujambazi umerudi kama ilivyokuwa zama za kale hadi Polisi wanauawa na silaha kuibiwa VITUONI.

-Ziara za nje ya Nchi za kutembeza BAKULI LA OMBA OMBA (BLO)Awamu ya nne inaongoza kwa safari zenye kulitia hasara Taifa letu.

-Waandishi wa Habari na Wanaharakati kuuawa na kuteswa.

-Umwagaji damu usio wa lazima kutokea kwenye maandamano.

-Ajali na ongezeko la vifo na vilema vimekithiri awamu ya nne.

-Mikataba mingi inayohusu RASILIMALI ZETU imesainiwa kwa SIRI na WACHINA bila Raia kujua kinachoendelea ndani yake.

-KATIBA PENDEKEZWA ni kiini macho uhalisia UMEENGULIWA na BATILI imewekwa mbele.

-DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA -Uandikishwaji wake unacheleweshwa kwa MAKUSUDI.

-Hata ndani ya CCM uchaguzi wa kumpata Mgombea Urais hali ni tete mpaka leo.

Kwa uchache tu haya ni baadhi ya mambo yanayoonesha kuwa NCHI IMEMSHINDA JK MWANZO MWISHO.

RAIS ajaye anatakiwa awe ngangari kweli kweli la sivyo JAHAZI LITAZAMA.

Asee kumbe sio kila mwenye kuitwa binadamu anaweza kuwa na uwezo wa kufikiri....hizi ni akili na fikra za kuku.....kila ulichoandika hakina sense zaid nachokiona ni nonsensical issues...Unaweza kuzungumzia ishu ya umeme kwa kipind hiki kweli eti ni shida..really? JK ni derevakusema ndio anadondosha hayo magari.....acha hizo bhanaa Umesahau Rasimu ya Warioba ilivyowatenga wasanii...pamoja na kutozungumzia hadi ya kupata huduma za afya kwa walemavu...umesahau hayo au unajitoa ufahamu kwa shilingi 10000 za kutumwa huku kuja kuandika pumba.....huwezi fanikiwa kwa kuja kusema uongo na kufitinisha watu humu....kati ya vyama vyote CCM ndicho kinachoendeshwa kidemocrasia hasa katika upataji wa viongozi sio hivyo vyenu watu ni walewale nyie hata akil za kuongoza nchi hamna yarabi...mtatuletea ya Burundi kwa design ya uongozi wenu.....
 
Subirini chadema ishike nchi, watafungua bilicanas kila mkoa na wilaya.
Hawafai hawa hata kupewa nchi...mtu mwenye staha ya uongozi hawezi kufanya upuuzi kwenye public...Mwenyekiti wao anadendeka na mtu kwenye sherehe halafu watu pembeni wanampigia makofi is this kind of a leader we want...AU MKUU HII VIDEO HUJAIONA...yule sio kiongozi ni prostitute👈(sor to say that..kuna vitu kiongozi akivifanya mtu huna budi kumfananisha na mbuzi)
 
Faiza, Hivi huyu anae andikwa andikwa humu na picha zake zinapita uchiuchi,kisasakisasa, Ndiyo WEWE?

quote_icon.png
By FaizaFoxy
Hiyo ni open challenge nataka tuanze kwa kulinganisha viongozi watatu wa nchi hii waliopita kabla ya Kikwete toka tupate Uhuru, tulinganishe mafanikio yao kwenye nyanja yoyote ile uipendayo, tuone ni nani zaidi.

Tena nnakupa "handicap" wachanganye wote watatu waliopita kwa ujumla tulinganishe mafanikio yao kwa pamoja kwa miaka yao zaidi ya 44 waliotawala tufananishe na miaka 9 tu ya Kikwete.

Tuanze...

Asee kumbe sio kila mwenye kuitwa binadamu anaweza kuwa na uwezo wa kufikiri....hizi ni akili na fikra za kuku.....kila ulichoandika hakina sense zaid nachokiona ni nonsensical issues...Unaweza kuzungumzia ishu ya umeme kwa kipind hiki kweli eti ni shida..really? JK ni derevakusema ndio anadondosha hayo magari.....acha hizo bhanaa Umesahau Rasimu ya Warioba ilivyowatenga wasanii...pamoja na kutozungumzia hadi ya kupata huduma za afya kwa walemavu...umesahau hayo au unajitoa ufahamu kwa shilingi 10000 za kutumwa huku kuja kuandika pumba.....huwezi fanikiwa kwa kuja kusema uongo na kufitinisha watu humu....kati ya vyama vyote CCM ndicho kinachoendeshwa kidemocrasia hasa katika upataji wa viongozi sio hivyo vyenu watu ni walewale nyie hata akil za kuongoza nchi hamna yarabi...mtatuletea ya Burundi kwa design ya uongozi wenu.....

Chadema KAMWEEEEE hawataongoza hii nchi..wachore chini
 
Nimejaribu kufuatilia kwa makini na hatua kwa hatua tangu huyu mzee aingie madarakani ili nibaini ni kipi ametenda hata tumkumbuke baada ya kuondoka kwake madarakani Octoba 2015. Nimegundua kwa 97% mkuu wa kaya ameshindwa vibaya mno kuleta MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA aliyotuahidi.

Mh.MKAPA alimwambia nakuachia Nchi kama ni Ndege wakati huo ilikuwa iko kwenye RUNNING,Alichopaswa kufanya ni kuipaisha tu ili ikifika Octoba ili ndege hio itue ikiwa imesheheni unono na urojorojo, Uchumi ulioimara kwa kila MWANANCHI. BADALA YAKE NDEGE HIO JK ALIIZIMA,

Tumaini la Wananchi likapotea, kila kitu kikavurugika:-

-Mfumko wa bei kwa BIDHAA zote ukawa juu.

-Shillingi yetu ikaporomoka kwa KASI MPYA,NGUVU MPYA na ARI MPYA.

-Tatizo la umeme mpaka kesho ni kitendawili Nchini.

-Ujambazi umerudi kama ilivyokuwa zama za kale hadi Polisi wanauawa na silaha kuibiwa VITUONI.

-Ziara za nje ya Nchi za kutembeza BAKULI LA OMBA OMBA (BLO)Awamu ya nne inaongoza kwa safari zenye kulitia hasara Taifa letu.

-Waandishi wa Habari na Wanaharakati kuuawa na kuteswa.

-Umwagaji damu usio wa lazima kutokea kwenye maandamano.

-Ajali na ongezeko la vifo na vilema vimekithiri awamu ya nne.

-Mikataba mingi inayohusu RASILIMALI ZETU imesainiwa kwa SIRI na WACHINA bila Raia kujua kinachoendelea ndani yake.

-KATIBA PENDEKEZWA ni kiini macho uhalisia UMEENGULIWA na BATILI imewekwa mbele.

-DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA -Uandikishwaji wake unacheleweshwa kwa MAKUSUDI.

-Hata ndani ya CCM uchaguzi wa kumpata Mgombea Urais hali ni tete mpaka leo.

Kwa uchache tu haya ni baadhi ya mambo yanayoonesha kuwa NCHI IMEMSHINDA JK MWANZO MWISHO.

RAIS ajaye anatakiwa awe ngangari kweli kweli la sivyo JAHAZI LITAZAMA.
zigo najuta kumpigia kura yangu 2005,2010 nilishtuka hivyo hakupata kura yangu.....safari hii boya hapati kura yangu
 
Back
Top Bottom