Rais Kikwete nchi imemshinda mwanzo mwisho

Hiyo ni open challenge nataka tuanze kwa kulinganisha viongozi watatu wa nchi hii waliopita kabla ya Kikwete toka tupate Uhuru, tulinganishe mafanikio yao kwenye nyanja yoyote ile uipendayo, tuone ni nani zaidi.

Tena nnakupa "handicap" wachanganye wote watatu waliopita kwa ujumla tulinganishe mafanikio yao kwa pamoja kwa miaka yao zaidi ya 44 waliotawala tufananishe na miaka 9 tu ya Kikwete.

Tuanze...

tuanze na deni la taifa

nyerere+mwinyi+mkapa=trilion4
Jakaya+Mrisho+kikwete=trilion39+
 
tuanze na deni la taifa
nyerere+mkapa+mwinyi=trilion4
Jakaya+Mrisho+Kikwete=trilion39+
ndio maana napata shida sana na ukawa ivi kuna nchi isiyo na madeni?, ata U.S.A wana madeni pia jaribu kuangalia je hayo madeni wamekopa kwa ajili ya nini?, ukizingatia watanzania wanafurahi kukwepa kodi ss ilo pato la kuendesha nchi linapatikana vipi? ila angalieni nyie UKAWA isije mkaachiwa nchi mkashindwa kuiendesha muulizeni Buhari nigeria
 
siyo kila anayepigia kelele udhalimu wa serikali ni mwanachama wa Ukawa,kumbuka hilo!
Siyo vibaya kukopa,ila kama unakopa hovyo hovyo bila mikakati madhubuti ndiyo tatizo,tunaona haya ya kukopa ili kulipa deni la awali?Mmeshindwa kukusanya kodi ipasavyo,misamaha ya kodi kiholela,watu wanakwepa kodi kwa kusaidiwa na viongozi wa serikali(mf sakata la escrow),ufisadi uliokithiri na matumizi ya anasa kwa viongozi!
Mnakuja hapa mnatuambia hata marekani wanakopa,nonsense,haya wao wanakopa wana miondombinu mizuri!
Pesa tunakopa ila matumizi yake hayaeleweki,pesa kubwa inapotea kwenye michakato na upembuzi yakinifu!
Ni aibu kwa nchi yenye rasilimali kama Tanzania kuwa hapa tulipo kwa miaka yote hiyo toka uhuru!
 
mbona unaonekana umepanic!, unataka kutuaminisha serikali inayokopa haina mipango, wewe kama kiongozi ni matumizi gani ni ya anasa, kwa uwezo wako wa kufikiria unafikiri miaka 50 kwa umri wa nchi ni mingi kiasi icho. kwa taarifa yako serikali yako inajitahidi sana kuboresha maisha ya wananchi sema nadhani wewe ndio una chuki binafsi na selikari yako
 
Kamanda huyo asikupotezee muda
kama miaka 23 waliyonayo hao wafia CDM
WAMESHINDWA kujenga ofisi ya makao
makuu ya chama anashangaa nini miaka 50
mi sipendi kubishana na vipofu potezea huyo!
 
Wewe hata unachokiandika mwenyewe hukitambuwi unakurupuka tu.

Sikulaumu ngoma ya open challenge ya aliyoyafanya Kikwete ukilinganisha na wengine imekuwa nzito sana kwenu na hamuwezi mpaka dakika hii toka nilipoitowa challenge jana kila mmoja wenu kaingia mitini.

Punguani wahed.

Nilishakwambia siku nyingi sana kuhusu tatizo lako lakini naona unasahau...hiyo open challenge nikuache nayo na kelele zako maana mambo haya ni sawasawa na 'pembe la ng'ombe'.
 
Nimejaribu kufuatilia kwa makini na hatua kwa hatua tangu huyu mzee aingie madarakani ili nibaini ni kipi ametenda hata tumkumbuke baada ya kuondoka kwake madarakani Octoba 2015. Nimegundua kwa 97% mkuu wa kaya ameshindwa vibaya mno kuleta MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA aliyotuahidi.

Mh.MKAPA alimwambia nakuachia Nchi kama ni Ndege wakati huo ilikuwa iko kwenye RUNNING,Alichopaswa kufanya ni kuipaisha tu ili ikifika Octoba ili ndege hio itue ikiwa imesheheni unono na urojorojo, Uchumi ulioimara kwa kila MWANANCHI. BADALA YAKE NDEGE HIO JK ALIIZIMA,

Tumaini la Wananchi likapotea, kila kitu kikavurugika:-

-Mfumko wa bei kwa BIDHAA zote ukawa juu.

-Shillingi yetu ikaporomoka kwa KASI MPYA,NGUVU MPYA na ARI MPYA.

-Tatizo la umeme mpaka kesho ni kitendawili Nchini.

-Ujambazi umerudi kama ilivyokuwa zama za kale hadi Polisi wanauawa na silaha kuibiwa VITUONI.

-Ziara za nje ya Nchi za kutembeza BAKULI LA OMBA OMBA (BLO)Awamu ya nne inaongoza kwa safari zenye kulitia hasara Taifa letu.

-Waandishi wa Habari na Wanaharakati kuuawa na kuteswa.

-Umwagaji damu usio wa lazima kutokea kwenye maandamano.

-Ajali na ongezeko la vifo na vilema vimekithiri awamu ya nne.

-Mikataba mingi inayohusu RASILIMALI ZETU imesainiwa kwa SIRI na WACHINA bila Raia kujua kinachoendelea ndani yake.

-KATIBA PENDEKEZWA ni kiini macho uhalisia UMEENGULIWA na BATILI imewekwa mbele.

-DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA -Uandikishwaji wake unacheleweshwa kwa MAKUSUDI.

-Hata ndani ya CCM uchaguzi wa kumpata Mgombea Urais hali ni tete mpaka leo.

Kwa uchache tu haya ni baadhi ya mambo yanayoonesha kuwa NCHI IMEMSHINDA JK MWANZO MWISHO.

RAIS ajaye anatakiwa awe ngangari kweli kweli la sivyo JAHAZI LITAZAMA.

fanya kazi acha kulalamika lalamika tunutu weweeee
 
#kwahii nchi ni baba yako??
 
Asee kumbe sio kila mwenye kuitwa binadamu anaweza kuwa na uwezo wa kufikiri....hizi ni akili na fikra za kuku.....kila ulichoandika hakina sense zaid nachokiona ni nonsensical issues...Unaweza kuzungumzia ishu ya umeme kwa kipind hiki kweli eti ni shida..really? JK ni derevakusema ndio anadondosha hayo magari.....acha hizo bhanaa Umesahau Rasimu ya Warioba ilivyowatenga wasanii...pamoja na kutozungumzia hadi ya kupata huduma za afya kwa walemavu...umesahau hayo au unajitoa ufahamu kwa shilingi 10000 za kutumwa huku kuja kuandika pumba.....huwezi fanikiwa kwa kuja kusema uongo na kufitinisha watu humu....kati ya vyama vyote CCM ndicho kinachoendeshwa kidemocrasia hasa katika upataji wa viongozi sio hivyo vyenu watu ni walewale nyie hata akil za kuongoza nchi hamna yarabi...mtatuletea ya Burundi kwa design ya uongozi wenu.....

Unachokidhihirisha hapa ni Woga wa kike wenye kupindukia,Kwenye mambo muhimu jitahidi kuondoa itikadi yako ya kichama na mapenzi/upendo wa kumzimia JK mwana wa Mrisho na itakuwa vema kuuweka UTAIFA MBELE.
 
tuanze na deni la taifa
nyerere+mkapa+mwinyi=trilion4
Jakaya+Mrisho+Kikwete=trilion39+

Faiza Foxy lete utetezi wako hapa naona kwa style hii koo lako limekabwa hatakuongea itakuwa shida sasa na mikono yako imetiwa ganzi jibu la maana huna tena.
 
Unachokidhihirisha hapa ni Woga wa kike wenye kupindukia,Kwenye mambo muhimu jitahidi kuondoa itikadi yako ya kichama na mapenzi/upendo wa kumzimia JK mwana wa Mrisho na itakuwa vema kuuweka UTAIFA MBELE.

Wewe mahaba niue kwani anayekuendeshea nchi yako
ni nani?unajifanya huoni ee?Unakula sembe
kwa raha mstarehe halafu unajifanya kutukana nyumba inayokutunza!
 
Back
Top Bottom