Rais Kikwete na safari za nje

Rais Kikwete na safari za nje

rizwani ameanza lini kuchukua kandarasi za ujenzi wa barabara ....kiasi cha kupewa tenda mbeya ..aua mbeya wameona ndio wanastahili barabara mbovu...!!!

ujasiriamali mwingine.......hawa wanataka tuwafurushe....

Una ushahidi Mkuu, au ndio chai mnauziana mtaani, naomba tuwe na ushahidi jamani, tusijekuwabebesha watu lawama ambazo wala hawahusiki kisa Baba Raisi. Lete ushahidi ndio tuone kweli unajua ulisemalo.
 
Mimi ni miongoni mwa waliojaribu kutaka kuona kuwa kuna vitu "positive" katika hizo ziara, na kutetea kuwa anayofanya ni sehemu ya majukumu ya rais, lakini nimeanza kuona (quite late, sorry folks) kwamba kumbe nilikuwa nachemka vibaya sana! Kuna muungwana mmoja ameorodhesha kwenye blog ratiba ya JK (on a day-to-day basis) ya mwezi wa nane na wa tisa, nikachoka kabisa! Katika hiyo miezi miwili kuna mmojawapo alipatikana ofisini ikulu kwa siku 3 (tatu) tu!

Unaweza kutupatia link ? Im interested kuona. Au kama kuna mtu ana complete list, ingekua poa.
 
Unaweza kutupatia link ? Im interested kuona. Au kama kuna mtu ana complete list, ingekua poa.

Hii hapa ni mwezi Sept kuanzia tar 1-28, alipatikana ofisini siku tatu tu: Faustine's Baraza: Diary of the President -September 2008

1/9/2008 Returns from the US

2/9/2008 Leaves for Zambia to attend the funeral of the Late Levy Mwanawasa

3/9/2008 Office day

4/9/2008 Office day
5/9/2008 Leaving for Swaziland

6/9/2008 Attending 40/40 celebrations in Swaziland

7/9/2008 Travels to Sudan from Swaziland

8/9/2009 Holds talk with Sudanese President and returns to Dar

9/9/2008 Travel to Dodoma to chair the ruling Party National Executive Committee and the Central Committee

10/9/2008 Attending the CCM meeting

11/9/2008 Starts a tour of Manyara region

12/9/2008 Manyara tour

13/9/2008 Manyara tour

14/9/2008 Manyara tour

15/9/2008 Leaves for Zimbabwe to witness power sharing deal, returns to Dar

16/9/2008 Manyara

17/9/2008 Manyara

18/9/2008 Kilimanjaro to meet the Chinese Communist Party Secretary General

19/9/2008 Office Work

20/8/2008 Leaves for New York to attend the UN General Assembly

28/09/2008 Returns from the US
 
rizwani ameanza lini kuchukua kandarasi za ujenzi wa barabara ....kiasi cha kupewa tenda mbeya ..aua mbeya wameona ndio wanastahili barabara mbovu...!!!

ujasiriamali mwingine.......hawa wanataka tuwafurushe....

Naona hii imekuwa kama ndio tabia ya viongozi wetu. Wakati Mwinyi akiwa rais mwanae alichukua kandarasi ya kuingiza magari ya kijeshi nchini. Sasa huyu naye anafuata nyayo. Mkapa naye akampa mwanae ukurugenzi wa Kiwira.
 
Acha kabisa hiyo, Rizwan gani anaongelewa hapa? Jamani msije mkawa mnajadili vitu bila ya kuwa na ushahidi? Napenda JF iendelee kuwa Kioo na sio Jukwaa la kuropoka.

Siku chache kabla ya harusi yake alikuwa marekani kutafuta hayo matrekta na alikuwa anafikiria pia kuangalia uwezekano wa kununua second hand ili ayashushe Bongo, haya watu hawayazushi toka hewani. Kama uliziamini hadithi za "nina kijishamba changu Bwagamoyo na bank account yangu ina akiba haifiki hata milioni 10" kalagabaho vijisenti siku hizi vinawekkwa kwenye mitungi haviwekwi bank tena wameshashtuka.
 
Kwani safari zinaubaya gani kama ni za kikazi??

You guy look at what we get kwa hizo safari na tunatumia kiasi gani to make them happen.. ni kheri kufanya proper allocation ya hich tulichonacho kuliko kuki miss use.

vilevile wanasema anakwenda kukutana na viongozi mimi sidhani kama wanahitaji kuonana kwa kila safari anayokwenda.

in this era of technology it is very possible to have a conference with anybody while you see him/her from anywhere and this is what our friends are doing to cut down un necessary costs like these ?

we have e-mails, phones,tvs, internet, magazines, video conference facilities and so on to facilitate these and am sure that the state is also budgeting for these.

kwa maoni yangu hii kasumba ya muungwani imepitwa na wakati na ni ushamba.
 
Raisi jakaya mrisho kikwete anatarajiwa kusafiri tena kuelekea nchi za amerika ya kusini kuanzia wiki mbili zijazo , anatarajiwa kwenda brazil , cuba pamoja na Venezuela , anazidi kutuka viunzi tena kuhusu safari yake ya mkoa wa mbeya ambayo inasemekana alitakiwa aifanye baada ya mwezi mtukufu .

Ziara nyingi za raisi zimekuwa zinasindikizwa na misafara mirefu ambayo haina umuhimu wowote katika safari hizo pamoja na waandishi wa habari ambao hawakidhi fani hiyo ya uandishi kama sudi mnete wa ITV ambaye elimu yake ya uandishi wa habari haieleweki vizuri nab ado anaongozana katika misafara hii ya raisi .

Sasa ni wakati kwa wananchi wa Tanzania haswa wadau wa habari kuanza kuhoji kuhusu safari hizi haswa gharama zake na faida zake kwa taifa , miaka michache iliyopita waziri mkuu mstaafu aliwahi kusafiri kwenda ulaya aliporudi watu walilalamika sana kuhusu safari hiyo na garama zake .

Basi jambo hili pia lifanywe kwa raisi wetu na wale wote anaoongozana nao katika misafara hii watanzania wajue kinachoendelea ni nini haswa
 
shy.. usiniambie hujasoma mada iliyoletwa hapa kuhusu "Safari za JK: Utata mtupu" na habari za hizo safari mpya zimeshaandikwa humo. Na maswali unayotaka kuuliza yashaulizwa. Tatizo ni majibu.
 
...........pamoja na waandishi wa habari ambao hawakidhi fani hiyo ya uandishi kama sudi mnete wa ITV ambaye elimu yake ya uandishi wa habari haieleweki vizuri nab ado anaongozana katika misafara hii ya raisi.....

Sudi Mnete kakukosea nini ndugu yetu? Ndugu zako walipokuwa wanajazana kwenye misafara ya rais wakati shemeji yako Mkapa alipokuwa madarakani mbona uliziba mdomo? Kumbe "kunya anye kuku, akinya bata kaharisha", au ni nini sasa bwana mdogo? Mkapa alijaza shemeji zake kwenye misafara yake, kuanzia daktari (Maro), waandishi (Maro wawili), mpiga picha (Maro), hiyo uliona sawa, lakini leo Sudi Mnete mwajiriwa tu anayejitafutia kamshahara kwa mwezi kabahatika kuwepo kwenye huo msafara, basi ndio keleeeeele! Acha hizo bwa mdogo!
 
sudi mnete kakukosea nini ndugu yetu? Ndugu zako walipokuwa wanajazana kwenye misafara ya rais wakati shemeji yako mkapa alipokuwa madarakani mbona uliziba mdomo? Kumbe "kunya anye kuku, akinya bata kaharisha", au ni nini sasa bwana mdogo? Mkapa alijaza shemeji zake kwenye misafara yake, kuanzia daktari (maro), waandishi (maro wawili), mpiga picha (maro), hiyo uliona sawa, lakini leo sudi mnete mwajiriwa tu anayejitafutia kamshahara kwa mwezi kabahatika kuwepo kwenye huo msafara, basi ndio keleeeeele! Acha hizo bwa mdogo!

huyo sudi mnete hafai na hatakiwi kuwa katika misafara hiyo tunahitaji watu makini na wenye kuweza kazi hiyo
 
Raisi jakaya mrisho kikwete anatarajiwa kusafiri tena kuelekea nchi za amerika ya kusini kuanzia wiki mbili zijazo , anatarajiwa kwenda brazil , cuba pamoja na Venezuela , anazidi kutuka viunzi tena kuhusu safari yake ya mkoa wa mbeya ambayo inasemekana alitakiwa aifanye baada ya mwezi mtukufu .

Ziara nyingi za raisi zimekuwa zinasindikizwa na misafara mirefu ambayo haina umuhimu wowote katika safari hizo pamoja na waandishi wa habari ambao hawakidhi fani hiyo ya uandishi kama sudi mnete wa ITV ambaye elimu yake ya uandishi wa habari haieleweki vizuri nab ado anaongozana katika misafara hii ya raisi .

Sasa ni wakati kwa wananchi wa Tanzania haswa wadau wa habari kuanza kuhoji kuhusu safari hizi haswa gharama zake na faida zake kwa taifa , miaka michache iliyopita waziri mkuu mstaafu aliwahi kusafiri kwenda ulaya aliporudi watu walilalamika sana kuhusu safari hiyo na garama zake .

Basi jambo hili pia lifanywe kwa raisi wetu na wale wote anaoongozana nao katika misafara hii watanzania wajue kinachoendelea ni nini haswa

Very well composed SHY kwa mara ya kwanza nakubaliana na bandiko lako mkuu.Mimi siku zote mtu akisema cha maana nitasimama naye .Ila nina swali ndugu shy .Ni lini uligundua kwamba JK ni mbabaishaji hadi ukaamua kuwa msemaji wa washinda hoi ?
 
huyo sudi mnete hafai na hatakiwi kuwa katika misafara hiyo tunahitaji watu makini na wenye kuweza kazi hiyo

Kipimo gani umetumia kuona kuwa Sudi hafai, na katika kipimo hicho Sudi amepata points ngapi kulinganisha na hao unaowataka wewe? Hivi Sudi anatofautiana vipi na wale ndugu zako waliokuwa wanajazana kwenye misafara ya shemejiyo Mkapa?
 
kipimo gani umetumia kuona kuwa sudi hafai, na katika kipimo hicho sudi amepata points ngapi kulinganisha na hao unaowataka wewe? Hivi sudi anatofautiana vipi na wale ndugu zako waliokuwa wanajazana kwenye misafara ya shemejiyo mkapa?

kilichokweli ni kwamba sudi hana uzoefu na kazi hizo na hata hana ujuzi wa kutosha wa kazi hizo huyu na wengine wengi wanaegemea upande ule wa kumbeba raisi na wapambe wake wengine -- naamini kama kungekuwa na tume maalumu ya kuchagua watu wa kusafiri na raisi kuripoti habari huyu hatakiwi kwenda na raisi
 
very well composed shy kwa mara ya kwanza nakubaliana na bandiko lako mkuu.mimi siku zote mtu akisema cha maana nitasimama naye .ila nina swali ndugu shy .ni lini uligundua kwamba jk ni mbabaishaji hadi ukaamua kuwa msemaji wa washinda hoi ?

jk siku zote ni mbabaishaji na hili ni tatizo nafikiri tanzania wajifunze kuchagua watu ambao wana uzoefu na mambo haya sio kwa sababu ni kijana - vijana hawajaona mengi na kufanya mengi anapopata nafasi ile ndio muda wake muafaka wa kuona mengi na kufanya mengi ambayo wakati wote wa maisha yake hakuwahi kuwa na ndoto hiyo

kama ulikuwa makini wakati wa hotuba yake ya mwisho bungeni ,kati ya jk na spika wa bunge nani unafikiri ni raisi kama ungekuwa hujawahi kumjua raisi wa tanzania ? Jibu lingekuja ni spika hicho ni kipimo cha kwanza
 
huyo sudi mnete hafai na hatakiwi kuwa katika misafara hiyo tunahitaji watu makini na wenye kuweza kazi hiyo

Ukisikia majungu ndio haya sasa..... baina yako wewe (anonymous) na mwajiri wake nani anajua zaidi kama Sudi hafai? Wakati mwingine hiki kijiwe kinatumika vibaya kuchafua majina ya wote una muanika jamaa bila sababu ya msingi, bifu nyingine jamani noma...
 
ukisikia majungu ndio haya sasa..... Baina yako wewe (anonymous) na mwajiri wake nani anajua zaidi kama sudi hafai? Wakati mwingine hiki kijiwe kinatumika vibaya kuchafua majina ya wote una muanika jamaa bila sababu ya msingi, bifu nyingine jamani noma...

haya sio majungu -- itabidi ikulu wajbu kwanini wanampanga mtu kama sudi mnete kuripoti hana uzoefu wala elimu yoyote darasa la saba kwanini ikulu inapanga watu hawa au wana lao jambo ?
 
kilichokweli ni kwamba sudi hana uzoefu na kazi hizo na hata hana ujuzi wa kutosha wa kazi hizo huyu na wengine wengi wanaegemea upande ule wa kumbeba raisi na wapambe wake wengine -- naamini kama kungekuwa na tume maalumu ya kuchagua watu wa kusafiri na raisi kuripoti habari huyu hatakiwi kwenda na raisi

Bado hujajibu swali langu. Nataka vigezo, kipimo cha tathmini yako kilichoweza kukupa jibu kuwa Sudi hafai. Na ili mtu afae kwa kazi hiyo anapaswa afikishe points ngapi au qualitative attribute gani? Uzoefu ndio nini na "ujuzi wa kutosha" ni nini, kipimo cha haya ni kipi? Majibu tafadhali.
 
Back
Top Bottom