Rais Kikwete na safari za nje

Rais Kikwete na safari za nje

Huyu Babu Siguyemisi John machela(Malecela) AKA Tingatinga,kumbe bado ana siasa za ushabiki kama wa timu za yanga na simba wakati nchi ipo pabaya.Mbona mkeo anamwaga vitu vizuri au hamsemezani naye kabla ya kuingia humo bungeni?Babu soma majira na nyakati,acha porojo hizo,Umeona mwenzio Kibaki Kenya kwa kutosoma nyakati ametumbikiza Taifa ahera.Hilo doa halifutiki milele na ajiandae kujibu mbele za Maulana,kuchamba kwingi utaondoka na mavi.Heshimu uzee wako babu,kama umechoka siasa kagombee upapa Vatican maana umri ulionao unafaa.
 
Kuna haja kuwa na limits tenure ubunge- yaani vipindi vitatu tu! Ili wengine wapate nafasi!

Hii anamaanisha Malecela asingekuweko tena bungeni na angakuwa anapumzika na anakula pension ya kuwa Makamu wa Raisi!

Hii kitu mtu anakuwa mbunge 40 years- ndo inaleta shida!
 
Hili Zee litachoka limeshachoka,inbidi likapumzike.

Shurani, heshima yako mkuu. Nina imani u can do better than this. Mzee Malecela ametoa maoni yake, ni jukumu letu hapa JF kumwonyesha kwamba mawazo yake siyo sahihi kwa kumpa facts. Sidhani kwa maneno kama hayo yako hapo juu yanaweza kumpa elimu yoyote zaidi ya kuivunjia heshima forum yetu tukufu.
 
kama umechoka siasa kagombee upapa Vatican maana umri ulionao unafaa.

Hiyo nayo kali hivi kumbe upapa unagombewa unapokuwa umechoka siasa na umri kwenda? ama kweli JF inaelimisha!! nadhani basi hata Mugabe pia....

I thought Popes are elected by the College of Cardinals meeting in Conclave when the Apostolic See falls vacant sioni Mzee John Siguyemisi Samweli Mwelu mwelu Machela anafit vipi hapo....


Ushi
 
Sina hakika kama leo itakuja mbele ya wakuu hawa maana naona ni muswada wa Utalii baada ya kumpongeza na kumwaga sifa kibao kwa JK . Kimiti kaanzia mbali na Malecela akafunga kazi kwa kusema mnao lia na safari basi sasa yuko AU safari zitakuwa zaidi ina maana ujumbe wa JF unawafikia . Mhagama kaongea pumba sana leo .Sijui wale wabunge wako Dunia gani .

Mimi nadhani Malecela amefanya vizuri tu kumpongeza Kikwete. Yeye ni mwanasiasa na ameongea kama mwanasiasa yeyote yule angefanya.

Issue hapa kubwa tu ni kuwa je huku kupongezana ndio kutaendelea hadi muda wa bunge uishe na mada moto zisijadiliwe?
 
ukiiangalia hii habari bila ya utashi wa kumili utaiona ina mapungufu bado imekosa virutubisho.


kuna vitu vimetolewa na kuachwa ile sehemu ambayo pekee itavuta utashi wa mleta hoja.

mpaka lini tutakuwa na kuacha mambo ya kitoto.


hivi mnataka malecela mpuuzi sana kiasi cha kutoka kumpongeza na kugusia hilo? hivi hamuoni kama kuna vitu vimeondoshwa
 
ukiiangalia hii habari bila ya utashi wa kumili utaiona ina mapungufu bado imekosa virutubisho.


kuna vitu vimetolewa na kuachwa ile sehemu ambayo pekee itavuta utashi wa mleta hoja.

mpaka lini tutakuwa na kuacha mambo ya kitoto.


hivi mnataka malecela mpuuzi sana kiasi cha kutoka kumpongeza na kugusia hilo? hivi hamuoni kama kuna vitu vimeondoshwa

Mtu wa Pwani very well said na ndiyo maana JF iko .Ili kuziba na kuweka yale yaliyo achwa na mtoa hoja basi wewe ongeea . Mzee yupo on record.Ilikuwa LIVE nadhani na wewe uliona na kusikia .Badala ya kulia lia tafadhali ongezea ama rekebisha maana mtoa hoja si Mungu .
 
mwafrika wa kike Senior & JF

Re: JK apongezwa Bungeni Malecela asema Safari za JK zitakuwepo tu

Mimi nadhani Malecela amefanya vizuri tu kumpongeza Kikwete. Yeye ni mwanasiasa na ameongea kama mwanasiasa yeyote yule angefanya.

Issue hapa kubwa tu ni kuwa je huku kupongezana ndio kutaendelea hadi muda wa bunge uishe na mada moto zisijadiliwe?


Mwafrika wa Kike,

Pole pole unaanza kuwa the power house hapa JF, unajua ukiona forum inayotakiwa kuwa kichwa kama hii, inapomlilia kiongozi mmoja tu hata kama hana madaraka, ina maana ndiye the best kwenye hilo taifa, wakuu hapa JF whether you like it or not, kwenye siasa na kwenye maisha huwa tunaaongelea wale tu tunaowapenda, na it is about time sasa tukakubali kuwa we love ths man Malecela, maana haiwezekani kuwa hata akiwa hana madaraka we do not seeem to have enough of him,

Yaaani kuwa baadhi ya wakuu hapa, nilikuwa ninawaheshimu kumbe nao wanazimia na mzee Tinga tinga?

Ahsante Mwafrika wa Kike, kwa kusimamia siasa za kweli, badala ya vijiweni, Mzee majuzi tuliambiwa yuko Kiteto anaiba kura, leo haya tena, kaaaazi kweli kweli!
 
Mzee ES naona sasa unaweza kuamini kwamba huu mzee amelewa na mvinyo wa damu ya kijana ya kifisadi ambayo mkewe haitaki kuinywa.


Mkuu Gembe,

Siku zote huwa ninakuaminia kuwa na wewe ni kichwa, mpaka nilipoona hii, kweli unataka tuanzae kuongela viongozi wastaafu hapa JF? Mkuu makamu wa CCM sasa ni Msekwa, halafu next time ukitaka kutumia jina langu yaani FMES hakikisha ni ishu kichwa sio ya mzee na mkewe na hoja za mivinyo, zitawasaidia vipi wananchi wa Buzwagi? Mzee Malecela amempongeza rais wa jamhuri na kuashiria kuwa sasa safari zitaongezeka maana si ndio kwanza amerudi toka Kenya kwenye ishu za AU? sasa usichoelewa ni kipi mkuu mpaka aunarusha matusi kama tuko kilabuni? Hapa mkuu ni JF uwanja wa kimaaifa, hivi unafikiri kina Zitto, wakiongelea mivinyo wananchi watawazomea viongozi wabovu?

Mzee ndio kwanza amerudi toka Europe, US, na UAE, ambako alikuwa akimwaga paid speeches, angalau dola $ 20,000 kwa speech, na sasa anajitayarisha kufungua Foundation yake, na mambo mengi ya usuluhishi wa kimataifa, mbona huulizi haya unauliza ya mke na mvinyo? Mkuu majina ya viongozi mafisadi wanaua nchi yetu umepewa na wanaume kina Slaaa na Zitto, mpaka leo hujaweza kuwafanya lolote na wote waliotajwa ni viongozi sitting kwenye jamhuri, lakini unalilia kiongozi aliyestaafu tu!

It is sad mkuu!
 
Malecela ameshachoka na umri na mawazo ni heri tu apumzike sasa aachane na ubunge alime shamba lake kule Mtera! Na ale pensheni yake ya kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa raisi!

Ni wakati wa damu na mawazo mapya! Sijui kwa nini wanasiasa Watz wakishazidi miaka 70 bado wanang'ang'ania!
 
Malecela ameshachoka na umri na mawazo ni heri tu apumzike sasa aachane na ubunge alime shamba lake kule Mtera! Na ale pensheni yake ya kuwa Waziri Mkuu na Makamu wa raisi!

Ni wakati wa damu na mawazo mapya! Sijui kwa nini wanasiasa Watz wakishazidi miaka 70 bado wanang'ang'ania!

Mkuu Mzalendo,

Tanzania hatuna sheria inayosiamia umri, maana Ndesamburo sio American Idol, hana miaka 18, na suala la umri kwenye siasa ya Tanzania tumezikataa kuwa ni NONESENSE, serikali yetu sasa hivi imejaa vijana tulichopata nini zaidi ya mafisadi? Hebu nitajie fisadi mmoja ambye ni mzee? Malecela amechaguliwa na wananchi wa Mtera, kama vile Ndesamburo, huwa hawatoki mpaka mwisho wa katiba mkuu, sasa yours ndio kwenye siasa tunaita sour grapes, maana ni mwananchi ambaye huelewi tatizo la nchi yako sasa unajaribu kuwatukana viongozi bila ya sababu, madaraka hupatikana kwenye uchaguzi mkuu, na JF ni mahali pa kuwashawishi wananchi ili wawachague viongozi wanaofaaa, sio kutukana wazeee wa taifa, maana the so called vijana wametuangusha mno,

Malecela hana sababu ya kuachana na ubunge, mpaka wananchi wa Mtera watakapoamua kuwa wamechoka naye, wewe umepewa majina ya mafisadi na wanaume kina Slaa na Zitto, what can you do about it? Nothing ila kulilia Malecela tu, unajua sometimes mnasikitisha sana maana mtu mgeni akiingia hapa atafikiri Malecela ndiye rais, kila kona JF is the man, wananchi Kitteto wanahitaji kupewa sababu kwa nini wasiipigie kura CCM, wewe huna hata moja ila kulia lia Malecela tu, ndio maana CCM watatawala milele mkuu huku mkilia Malecela,

Hana sababu yoyote ya kuacha ubunge maana kama wananchi wenyewe wana hoja kama hizi zako, za kumtukana kiongozi kwa sababu ya umri wake kwako ni dhambi, basi mkuu tuwaachie CCM waendelee tu, maana at this point wananchi wamechukizwa sanana na dhana ya viongozi vijana, sasa wewe hata siasa ya taifa lako huijui unaimba tu, wazee yaaani saaa hizi tuanze kuwafundisha darasa kuhusu viongozi vijana na wazee? Kwani Karamagi ni mzee wa miaka 70? Yaaani haya mawazo yako unayaita sio ya kuchoka mkuu?

Hakuna hope tena kwenye hili taifa, CCM wadumu tu! Wewe leo unaweza kuongelea dhana za damu mpya wakati kina Karamagi, Membe, Masha, Nchimbi, Kamala, na Kikwete mwenyewe ni vijana na damu mpya? Unajua kwenye kila kilio cha Malecela ni wananchi wanaiokimbia vivuli vyao tu!
 
Mbona unamtetea sana huyu babu? Kauli za huyu babu zimetuweka pabaya sana na hana tofauti na mafisadi wengine
 
Shalom,

Sour grapes hizo, ni kauli zenu chafu zisizokuwa na siasa ndani yake ndio zinatuweka pabaya mkuu as a nation, maana wote manogopa mchawi wenu ambaye ni vivuli vyenu wenyewe!

Kama hiyo yako ndio definition ya ufisadi, basi hata sisi wananchi tunaowachagua hawa viongozi ndio mafisadi kuliko wenyewe, kama tunajua kuwa ni mafisadi tunawachaguaje mkuu, mbona hamtaki kujiangalia kwenye kioo?
 
Mbona unamtetea sana huyu babu? Kauli za huyu babu zimetuweka pabaya sana na hana tofauti na mafisadi wengine


Shalom hapa utakufa na Es maana umepiga hadi ndani ya Ikulu yake
 
Shalom,

Sour grapes hizo, ni kauli zenu chafu zisizokuwa na siasa ndani yake ndio zinatuweka pabaya mkuu as a nation, maana wote manogopa mchawi wenu ambaye ni vivuli vyenu wenyewe!

Kama hiyo yako ndio definition ya ufisadi, basi hata sisi wananchi tunaowachagua hawa viongozi ndio mafisadi kuliko wenyewe, kama tunajua kuwa ni mafisadi tunawachaguaje mkuu, mbona hamtaki kujiangalia kwenye kioo?

Naam, asie taka kuelewa mwaka huu, atafahamu mwakani.
 
Hili Zee litachoka limeshachoka,inbidi likapumzike. Muda wao hawa CCM ndio waelekea ukingoni. Malecela ovyooooooooooooooooooooooooo

Mtu pekee anaejua kama huyu Mzee kachoka au laa ni Mama Anne Malecela basi!
 
Mkuu Gembe,

Siku zote huwa ninakuaminia kuwa na wewe ni kichwa, mpaka nilipoona hii, kweli unataka tuanzae kuongela viongozi wastaafu hapa JF? Mkuu makamu wa CCM sasa ni Msekwa, ?
It is sad mkuu!


Mkuu FMES ,Asante kwa hoja yako nzuri iliyojaa mwembwe na sifa ambazo umerithishwa na mzee Malecela.Sifa ambazo Viongozi wetu hupenda kupewa ili khali wameshindwa kuisimamia sera ya Chama cha Mapindunduzi.

Kwanza katika hoja yangu sikumkugusa MAlecela kama Makamau wa Chama cha Mapinuduzi,ili hali nafahamua sio m/mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi.

Kuniaminia mimi isiwe kwa mambo ya kusifia CCM tu,ila iwe na pale wanapokosea viongozi wetu.Hivi unaweza kusifia safari za mtu ambazo hatuoni mafanikio yake??Ndio alichofundwa na watu wa Mtera?

it is SAD coz now CCM are in a hard time,kwa taarifa yako Mzee Malecela alisema yale maneno kumkebehi Mkuu wa kaya.Unadhania lichofanyiwa na Muungwana 2005 kinasameheka??

Time will tell na Nitasema kweli DAima na Uongo kwangu Mwiko.
 
nilikuwa nawafahamisha kuwa Jakaya atakuwa na safari ya London mwezi ujao

Kaeni mkao wa kula
 
nilikuwa nawafahamisha kuwa Jakaya atakuwa na safari ya London mwezi ujao

Kaeni mkao wa kula

Natoa ombi kwa moderators wanaopitia thread hii (Pain Killer, Ole na Invisible), waifanye hii itinerary ya Mkuu wa kaya "STICKY", ili tuwe tunai-update hapo hapo juu badala ya kuitafuta kule kwenye makabrasha mengine.
Ni mtazamo tu.
Nawasilisha!
 
Natoa ombi kwa moderators wanaopitia thread hii (Pain Killer, Ole na Invisible), waifanye hii itinerary ya Mkuu wa kaya "STICKY", ili tuwe tunai-update hapo hapo juu badala ya kuitafuta kule kwenye makabrasha mengine.
Ni mtazamo tu.
Nawasilisha!

CO SIGN AND BROTHER MOZOUNE APPROVES THIS POST

brothermouzone.jpg
 
Back
Top Bottom