William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,466
Sitaki kuamini kwamba kila mtu anaweza kuwa waziri katika nchi hii, lakini kwa hoja ya Waziri Meghji, ambaye ni miongoni mwa mawaziri wazoefu katika baraza letu, inatosha kabisa kutia shaka kwamba kumbe yeyote anaweza kuteuliwa kuwa waziri, kama uwaziri unamaanisha kuwapo kwa mtu tu ambaye atasaini lolote atakaloambiwa na anaowaamini.
Mkuu Zalendo,
Heshima mbele mkuu, hapa hakuna cha kuongeza ila ubarikiwe tu!