GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 306
Nafikiri ifike mahali watanzania tutangaze CCM ni janga la kitaifa na tuikatae kwenye ramani ya Tanzania.
Tanzania bila CCM haiwezekani !
Nafikiri ifike mahali watanzania tutangaze CCM ni janga la kitaifa na tuikatae kwenye ramani ya Tanzania.
Wanazindua nini? Au lile jengo lililojengwa kwa msaada wa Korea?
your political party general secretary is a poacher, right
Hivi ww waweza kumlinganisha Rais wa nchi na Mnyika ? Mnyika ni nani ndani ya nchi? yeye anashughulika na watu milioni 1, wakati rais wa nchi ni zaidi ya watu milioni 50. Kumlinganisha JK na Mnyika ni sawa kulinganisha kichuguu (Mnyika) na Mlima kilimanjaro (Dkt JK)
Acha zako kazi anayofanya ni ndogo sana ingeweza kufunguliwa hata na Dr wa Wilaya, harafu kama ni kazi ya nchi manazi wa CCM wa nini ?Jamani kweli binadamu hawana shukrani. Mnalalamika sana kwamba Raisi kazi yake ni kusafiri tu hafanyi kazi yoyote hapa Tanzania, leo anafanya kazi yake ya kuongea na wananchi mnaanza kuzusha upumbavu wenu. Kweli kabisa shukrani ya punda ni mateke.
Tafadhali Tufafanulie kidogo una maana gani?Mara nyingi mti wenye matunda mazuri ndio urushiwa mawe na watoto.
Hivi ww waweza kumlinganisha Rais wa nchi na Mnyika ? Mnyika ni nani ndani ya nchi? yeye anashughulika na watu milioni 1, wakati rais wa nchi ni zaidi ya watu milioni 50. Kumlinganisha JK na Mnyika ni sawa kulinganisha kichuguu (Mnyika) na Mlima kilimanjaro (Dkt JK)
Rais amnapokua hana mshiko atatafuta kila njia anekane kwenye misiba,uzinduzi wa miradi ambayo mkuu wa mkoa ,waziri au mkuu wa wilaya anaweza kuzinduaHuyo raisi nae, hizo si angeacha waziri wa afya ndio azundue?
Hivi ww waweza kumlinganisha Rais wa nchi na Mnyika ? Mnyika ni nani ndani ya nchi? yeye anashughulika na watu milioni 1, wakati rais wa nchi ni zaidi ya watu milioni 50. Kumlinganisha JK na Mnyika ni sawa kulinganisha kichuguu (Mnyika) na Mlima kilimanjaro (Dkt JK)
Tafadhali Tufafanulie kidogo una maana gani?
Willy Le Mutuz
Naona umefurahia magwanda ya JK ndio maana. Mambo yote ndani ya Gwanda.
Siasa siyo ugomvi, lengo letu sote ni kuleta maendeleo wananchi. Kama ni maendeleo Mnyika hana shida, ingekuwa ufisadi ingekuwa balaa hapo.