Rais Kikwete na Mnyika ndani ya nyumba uzinduzi wa Hospitali ya Sinza!

smallvile

JF-Expert Member
Sep 12, 2012
494
250
utaskia kingora cha raisi kinaingia ,,, ukitulia unaskia kingine nani mama salma, ukisubiri mwanae nae anaezapita na kingora,,, anyway ebu tupia mipicha apa kwanza
 
Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,161
2,000
Tumefika hapa kwaajili ya udhaifu wa rais-j.Mnyika

Hivi ww waweza kumlinganisha Rais wa nchi na Mnyika ? Mnyika ni nani ndani ya nchi? yeye anashughulika na watu milioni 1, wakati rais wa nchi ni zaidi ya watu milioni 50. Kumlinganisha JK na Mnyika ni sawa kulinganisha kichuguu (Mnyika) na Mlima kilimanjaro (Dkt JK)
 
Noboka

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
1,208
2,000
Hilo hospitali ina thamani gani? Miaka 51 baada ya uhuru bado tunasadiwa kujenga vihospitali hivyo na hapo tusubiri neti na dawa toka USA, na huku madini na raslimali zingine kibao haohao wanazichukua kwetu. Sipingi JK kwenda kuzindua hiyo hospitali ila najiuliza tutaendelea kusaidiwa hadi lini? Binafsi naona JK angekuwa anapangiwa mambo makubwamakubwa kama ujenzi wa barabara tena zile ambazo tunajenga kwa fedha yetu wenyewe na tukaachana na hivi vitu vidovidogo kwa Mh. Rais, tusije tukawa tunamdhalilisha mkuu wa nchi mbele ya wazungu kwa kumtanguliza mbele kama wale watoto wa ombamba. Iwe iwavyo Rais ni kioo cha nchi pamoja na udhaifu wake, kama ana nafsi ni heri hata apumzike ile bongo yake itulie atafakari namna ya kuwatuimikia wa Tanzania, lakini kwa mwendo huu, sidhani kama tutafika mahali popote.
 
pin kubwa

Member
Nov 18, 2012
60
95
Jamani kweli binadamu hawana shukrani. Mnalalamika sana kwamba Raisi kazi yake ni kusafiri tu hafanyi kazi yoyote hapa Tanzania, leo anafanya kazi yake ya kuongea na wananchi mnaanza kuzusha upumbavu wenu. Kweli kabisa shukrani ya punda ni mateke.
Acha zako kazi anayofanya ni ndogo sana ingeweza kufunguliwa hata na Dr wa Wilaya, harafu kama ni kazi ya nchi manazi wa CCM wa nini ?
 
Domy

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
4,698
1,195
Hivi ww waweza kumlinganisha Rais wa nchi na Mnyika ? Mnyika ni nani ndani ya nchi? yeye anashughulika na watu milioni 1, wakati rais wa nchi ni zaidi ya watu milioni 50. Kumlinganisha JK na Mnyika ni sawa kulinganisha kichuguu (Mnyika) na Mlima kilimanjaro (Dkt JK)
kwa jinsi alivyowaongoza hao watu milioni 50 ameonyesha kubebeshwa mzigo mzito sana! alitakiwa awe rais wa kikundi cha taarabu.
 
SoNotorious

JF-Expert Member
Sep 11, 2011
2,420
1,195
Hivi ww waweza kumlinganisha Rais wa nchi na Mnyika ? Mnyika ni nani ndani ya nchi? yeye anashughulika na watu milioni 1, wakati rais wa nchi ni zaidi ya watu milioni 50. Kumlinganisha JK na Mnyika ni sawa kulinganisha kichuguu (Mnyika) na Mlima kilimanjaro (Dkt JK)

labda kama hiyo kilmanjaro ni kile unachokunya kila siku alfajiri, kama ni mlima kilimanjaro basi hata mazezeta huwa wanakuwa na m-genius wao.
 
Field Marshall ES

JF-Expert Member
Apr 27, 2006
12,659
0
[h=2] [/h]

-JANA MHESHIMIWA MNYIKA AKIJIKUNJA KWA SHIDA SANA KUWA KARIBU SANA NA MHESHIMIWA RAIS WA JAMHURI DR. KIKWETE ALIPOKUWA AKIFUNGUA HOSPITALI MPYA KATIKA JIMBO LA MHESHIMIWA MNYIKA, TAIFA KWANZA INAONYESHA MABADILIKO MAKUBWA SANA KWANI MHESHIMIWA MNYIKA HAPA AMEONYESHA UKOMAVU MKUBWA SANA WA KUKOMAA KISIASA!! MUNGU AIBARIKI TANZANIA!!

FMES!!
 
Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
8,180
1,250
Siasa siyo ugomvi, lengo letu sote ni kuleta maendeleo wananchi. Kama ni maendeleo Mnyika hana shida, ingekuwa ufisadi ingekuwa balaa hapo.
 
Top Bottom