Rais Kikwete na Mnyika ndani ya nyumba uzinduzi wa Hospitali ya Sinza!

Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2009
Messages
4,129
Points
0
Songoro

Songoro

JF-Expert Member
Joined May 27, 2009
4,129 0
Mkuu kuwa mkweli, post zako nyingi ulikuwa unamponda sana Mr Dhaifu ila baada ya kupata vyeo ndani ya CCM umemuona ameokoka ghafla. ulikuwa unaona ccm inakwenda siko na ulikuwa mstari wa mbele kumwita Chenge, Lowasa, Rostam magamba na umewahi kusema waondoke ama ccm ife, je leo wameondoka.

Uliwahi kusema CCM imepoteza mwelekeo na inaongzwa na wafu.
Umesema mengi sana itabidi nifukue database leo umepewa kijikazi kidogo kwa ujira umesahau yote na umekuwa mstari namba moja kuwa na hoja dhaifu na kutetea hata uozo kisa ni kutetea maslahi tumbo.

Kumbuka kwanza maneno yako mwenyewe ndio ujibu.
Alamsiki.
usishangae sana hata kibabu chenu pamoja na mzazi mwenzie Rose wilikuwa makada wa CCm mpaka pale walipotoswa kuwania ubunge katika majimbo ya Hanang na karatu 1995 na 2010!
 
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
39,842
Points
2,000
Matola

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
39,842 2,000

Katibu wa NEC ya CCM Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye akipongezwa na Mchungaji Josephat Gwajima wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, baada ya kutoa mahubiri yake katika kipindi cha ‘Hekima za Viongozi’ alipohudhuria ibada ya Kanisa hilo leo kwenye Viwanja vya kilichokuwa kiwanda cha kusindika nyama cha Tanganyika Packers, Kawe mjini Dar es Salaam. Nape alihudhuria ibada hiyo kutokana na mwaliko wa kanisa hilo.

Haya jitoe JF...Cc to. Invisible, Paw, Buchanan,
Wewe Ritz ni tutusa, muangalie JK hapa alivyo Mkristo mkatoliki mzuri. 
Last edited by a moderator:

Forum statistics

Threads 1,307,032
Members 502,311
Posts 31,599,931
Top