Rais Kikwete na Mnyika ndani ya nyumba uzinduzi wa Hospitali ya Sinza!

Mingoi

Mingoi

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2012
Messages
11,203
Points
2,000
Mingoi

Mingoi

JF-Expert Member
Joined Jul 21, 2012
11,203 2,000
John Mnyika. Ni moja ya vijana ambao wapo makini wanao hitaji support ya wananchi makini na wenye uchungu na nchi hii.
Atajifungua lini au anamsubiri specialist Dr Lusinde a.ka Kibajaji
 
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Messages
18,457
Points
2,000
Remote

Remote

JF-Expert Member
Joined May 20, 2011
18,457 2,000
Kwani mzee wa mkasi na utepe yupo wapi?
 
Rapherl

Rapherl

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Messages
3,516
Points
2,000
Rapherl

Rapherl

JF-Expert Member
Joined Jun 20, 2012
3,516 2,000
Naomba katika Hotuba yake Mh Mnyika amsisitizie lile neno alilosema Bungeni 'DHAIFU'
 
K

kisimani

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2011
Messages
550
Points
170
K

kisimani

JF-Expert Member
Joined Aug 24, 2011
550 170
Natabiri JJ Mnyika kuwa rais miaka ijayo.
 
Monyiaichi

Monyiaichi

JF-Expert Member
Joined
Jul 5, 2012
Messages
1,827
Points
1,250
Monyiaichi

Monyiaichi

JF-Expert Member
Joined Jul 5, 2012
1,827 1,250
jamani kweli binadamu hawana shukrani. Mnalalamika sana kwamba raisi kazi yake ni kusafiri tu hafanyi kazi yoyote hapa tanzania, leo anafanya kazi yake ya kuongea na wananchi mnaanza kuzusha upumbavu wenu. Kweli kabisa shukrani ya punda ni mateke.
tatizo sio hilo dear, huwa anafanya yale asiyopaswa kufanya na yale anayopaswa hafanyi, ndio maana kelele mingi
 
K

Kidatu

JF-Expert Member
Joined
Jun 11, 2008
Messages
1,506
Points
1,225
K

Kidatu

JF-Expert Member
Joined Jun 11, 2008
1,506 1,225
tatizo sio hilo dear, huwa anafanya yale asiyopaswa kufanya na yale anayopaswa hafanyi, ndio maana kelele mingi
Tafadhali nifahamishe kazi za Raisi wa nchi ni zipi?
 
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2011
Messages
10,981
Points
2,000
OSOKONI

OSOKONI

JF-Expert Member
Joined Oct 20, 2011
10,981 2,000
Huyo raisi nae, hizo si angeacha waziri wa afya ndio azundue?
Na yeye afanye nini? hana kazi zaidi ya hizi mkuu! baada ya hapa atapanga safari kwenda Korea kushukuru!
 
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2009
Messages
8,362
Points
2,000
sosoliso

sosoliso

JF-Expert Member
Joined May 6, 2009
8,362 2,000
Kwani mzee wa mkasi na utepe yupo wapi?
Ha ha ha.. U mean VP.. Dr. Bilali hataki makuu yeye.. anakula per diem zake mikoani kwenye ziara za kufungua vicivyofungwwa..
 
M

MARUKENI

Member
Joined
Jul 24, 2012
Messages
55
Points
0
M

MARUKENI

Member
Joined Jul 24, 2012
55 0
Haisaidii kitu kuzomea kwao kwani hawajui wanalolifanya hao wametokea hapo kambi ya fisi na si ajabu ukiwauliza Rais wa Tanzania nani wanaweza kusema ni NYERERE.
 
Lu-ma-ga

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Messages
3,279
Points
2,000
Lu-ma-ga

Lu-ma-ga

JF-Expert Member
Joined Sep 21, 2010
3,279 2,000
Natabiri JJ Mnyika kuwa rais miaka ijayo.
Hata enzi za utawala wa kitemi watemi walijulikana wakiwa bado vijana kama inavyotokea kwa kijana huyu.ama kweli ni mtemi wa kesho
 
GeniusBrain

GeniusBrain

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2010
Messages
4,321
Points
1,195
GeniusBrain

GeniusBrain

JF-Expert Member
Joined Nov 3, 2010
4,321 1,195
Ndugu wadau bila shaka nyote ni wazima.

Nipo hapa Sinza Palestina ambapo Rais Kikwete atakuwepo katika kuzindua Hospitali ya Sinza, viongozi mbalimbali wa serikali za mitaa kata ya Sinza na maeneo mengine ya Jiji la Dar.

Mheshimiwa Mnyika amewasili pamoja Na Diwani wa Sinza Ndugu Renatus Pamba.

Ndugu nitazidi kuwaletea yatakayojili.
Hivi ww waweza kumlinganisha Rais wa nchi na Mnyika ? Mnyika ni nani ndani ya nchi? yeye anashughulika na watu milioni 1, wakati rais wa nchi ni zaidi ya watu milioni 50. Kumlinganisha JK na Mnyika ni sawa kulinganisha kichuguu (Mnyika) na Mlima kilimanjaro (Dkt JK)
 
bluetooth

bluetooth

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2011
Messages
4,242
Points
2,000
bluetooth

bluetooth

JF-Expert Member
Joined Jan 12, 2011
4,242 2,000
Hivi ww waweza kumlinganisha Rais wa nchi na Mnyika ? Mnyika ni nani ndani ya nchi? yeye anashughulika na watu milioni 1, wakati rais wa nchi ni zaidi ya watu milioni 50. Kumlinganisha JK na Mnyika ni sawa kulinganisha kichuguu (Mnyika) na Mlima kilimanjaro (Dkt JK)
your political party general secretary is a poacher, right
 
S

Sarishitz

Member
Joined
Dec 4, 2012
Messages
13
Points
0
S

Sarishitz

Member
Joined Dec 4, 2012
13 0
Nafikiri ifike mahali watanzania tutangaze CCM ni janga la kitaifa na tuikatae kwenye ramani ya Tanzania.
 

Forum statistics

Threads 1,343,064
Members 514,896
Posts 32,772,465
Top