Rais Kikwete kuongoza maziko ya Regia Mtema!

JK alipiga safari kutoka Namibia kuwahi mazishi ya Sheik Yahya halafu unategemea akose haya??? Hivi Mazishi ya yule mbunge wa CDM Musoma (Sijui Wange) alihudhuria pia??
 
Duh.....! Unazi mpaka kwenye misiba Rais ndo zaidi ya wote hawana ubavu huo hata cku moja kaka lazima ye ndo ashine
 
I still don't see what/where the problem is!
There isn't any problem, there is a "Yes But..." kama ulisnisoma vyema...

@ Mr Zero, sidhani kama alikwenda kwenye yale ya Wangwe, kama unakumbuka polisi walitumika kuangusha jeneza la marehemu na vurugu nyingine, kisa ni siasa, ila wengi wetu haiwaingii akilini hiyo lol!

Maybe ni tatizo la usahaulifu?
 
Nakuunga mkono ushirikiano uwe muda wote hasa hasa kwa kushirikiana kuleta maendeleo sio misibani tu huu ni unafiki na ninauchukia.
 
Anyway, some things go and come with the territory. You are damned if you do and damned if you don't. At the end of the day one's got to do what one's got to do.
 
Culture za wenzetu zimeshageuka ila sisi tunarudi nyuma, wezetu wanasaidiana kwenye issue za maendeleo zaidi tu ya misiba na harusi pekee, hiyo spirit hatuna!

Kwa wenzetu hata jirani akifiwa sometimes unaweza usijue, lakini tatizo la kijamii likiwepo lazima ujuwe, sisi tuko opposite!
 
Sijawahi kumsikia kumwona JK akiwa benet na msiba,kama ambavyo amefanya sasa me najiuliza anatafuta nini?
 
Natoa Pole Sana kwa Wafiwa wote wa Msiba huu. Nadhani Marehemu Regia anastahili kupata heshima hii ya maziko Kitaifa.
 

Shujaa mmoja akifa nchi utetemeka...kwa hili napata faraja sana,na kwa kweli napata nguvu ya kusimama na hata kusema kuwa "Tumepoteza shujaa,nchi yote imetetemeka"
 
Ibada ya mazishi ya kamanda Regia itaongozwa na Paroko/Padre au Askofu wa Kanisa Katoliki.Baba,Mama Dada,Bibi,Viongozi wa CDM na Rais Kikwete pamoja na viongozi wengine wa Chama na Serekali watahudhuria katika Ibada ya mazishi ya mpendwa wetu Regia.


Ngongo,

Huu ndio ukweli wa mambo. Kama Regia angekuwa muislamu ningeweza kukubaliana na wanaosema JK ndiye ataongoza mazishi, huenda anayo daraja ya uislam inayompa uwezo wa kufanya hivyo.

Btw, ninamuunga mkono kwa uamuzi wa kuhudhuria mazishi ya marehemu Mh. Regia. Msiba wa marehemu Chacha Wangwe hakuhudhuria, hivyo watu wengi hawakupendezewa.
 
Hata mie nimejiuliza hilo swali.

Labda wajuvi watuambie ni viongozi gani walifika kwenye mazishi ya Chacha Wangwe.
JK alipiga safari kutoka Namibia kuwahi mazishi ya Sheik Yahya halafu unategemea akose haya??? Hivi Mazishi ya yule mbunge wa CDM Musoma (Sijui Wange) alihudhuria pia??
 

Sio lazima tuwe kama wao kwenye kila kitu.

Jambo la kufarijiana katika misiba ni jambo jema sana. Na kufarijiana kwenye misiba si kurudi nyuma.
 
Sio lazima tuwe kama wao kwenye kila kitu.

Jambo la kufarijiana katika misiba ni jambo jema sana. Na kufarijiana kwenye misiba si kurudi nyuma.
Ni kurudi nyuma kama ni misiba peke yake na huku issue za kimaendeleo hatumo, again take your time and read, nimesema "Yes But..."

Culture yetu ya kujidai misibani na maharusini peke yake mimi siifagilii hata chembe.

Na huu unafiki wa kusema si lazima tufanane kwenye kila kitu na wakati ukiufuata ubepari ndo hizi confusions...?

Kama tunachagua some cultures, basi i am sorry kusema tunazichagua zile mbovu zaidi...
 

Hakuna ubaya wowote ule kufarijiana katika misiba! None, zero, zilch, nada!

Ni hoja ya kulazimisha tu hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…