Mzee Mkumbila huko Nyololo alikuwa anatumia pia jina la utani "Nyerere",na ndio maana Yericko alisema Nyerere ni Baba yake mzazi.na Mzee Mkumbila je?
Hata Yericko Nyerere alikuwa anaota kuwa Nyerere ni baba'ke. Wazimu uko wa namna nyingi.
na Mzee Mkumbila je?
Yeriko anatamani sana awe damu ya Nyerere, ameshindwa ameishia unafiki wa mitandaoni
Tangu lini mwenye akili kama Nyerere akawa chadema??
Wazimu uko wa namna nyingi.
Amina amina.
Sauti ya watu, sauti ya Mungu.
Alichaguliwa na wengi, atabakia kuwa Rais wetu mpaka 2015.
Baada ya hapo ntawaomba watanzania wanichagulie "baba" yangu Eddo Lowassa apokee kijiti toka kwa baba yako NGULI.
nimeingiaje kwenye ombi la mdau huyu?
Mimi ninae Baba yangu mzee Yohanesy Nyerere kwa sasa marehemu, sijui unajisikiaje we bibi mzabizabina?
Hata Yericko Nyerere alikuwa anaota kuwa Nyerere ni baba'ke. Wazimu uko wa namna nyingi.