Rais Kikwete kama Baba yangu Mzazi...

Rais Kikwete kama Baba yangu Mzazi...

Ndugu zangu wana JF,

Naomba nizungumze hili kwani nisipozungumza nikifa mbingu itaniuliza.

Mimi binafsi nampenda sana rais wangu Kikwete, huwa namwona kama baba yangu na sio Rais. Huwa inafika kipindi napenda kuangalia taarifa ya habari nimuone baba yangu aki address National issues. Hata ofisini nikivaa miwani wanasema nafanana naye sema mimi na matege makali nikivaa suti haini fit kama baba Rais mwenyewe. Kwa vile mimi niko hapa Posta nikisia anapita nasimamaga nampungia sijui kama ananionaga.

Kama kuna mtu JF anaweza kunikutanisha na kiongozi na baba yangu huyu hata nipige naye picha ya ukumbusho nitafurahi sana.

Inaniumaga sana sometimes watu wanavyomkashifu nahisi kama upanga umepenya ndani ya moyo wangu na kuona baba yangu kaguswa. Ila najipaga matumanini kuwa hakuna rais duniani anayependwa hakuna kabisa kila nchi ina kikundi kidogo au kikubwa cha watu ambacho kinajidai au kinajifanya kinajua na hicho kikundi kikiingia madarakani kinachemsha twice e.g Arab uprising saga and aftermath, Misri na huko west Africa.

Mungu ambariki Rais wangu Mungu ibariki nchi yangu na Mungu wabariki wana JF
Katika maisha yangu hadi sasa nimeweza kugundua watu wanne wanyeyekevu katika taifa langu; wa kwanza sheikh mkuu shaaban simba, wa pili mzee ali hassan mwinyi, watatu rais mh dr jm kikwete na wa nne mzee reginald mengi. Hawa ni watu wenye haiba ya nafsi zenye uwezo wa kupasua mioyo ya watu; nina uhakika hata mabaya wanayofanya au kufanywa na watu wao hawayapendi tokea nafsini mwao bali mashinikizo ya kimazingira. Kumpenda kwako kutakuwa kumejificha kwenye ukweli kwamba nafsi yako imekutana na nafsi ya mh. na umeyeyushwa na ule unyenyekevu wake.
 
Matokeo Makubwa Sasa!

Chomoza ndani ya Vijana wa TZD kama Mjasiriamali atakuona.

Sio kupiga debe Posta na kutuma taarabu.
 
Asprin, ndio naingia kutoka Machingaland. Nimesafiri na baba yako, ni mgonjwa ile mbaya, mwambie apunguze gongo, anatetemeka sana, kuweka tu simu mfukoni hawezi, kukunja nne hawezi, sijui anazunguka kila kijiji ili iweje.
Mwambie ajitibu kwanza, Urais bila afya njema ni kifo cha mapema.

Nahisi ni parkinson disease may be!
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu wana JF,

Naomba nizungumze hili kwani nisipozungumza nikifa mbingu itaniuliza.

Mimi binafsi nampenda sana rais wangu Kikwete, huwa namwona kama baba
yangu na sio Rais. Huwa inafika kipindi napenda kuangalia taarifa ya
habari nimuone baba yangu aki address National issues. Hata ofisini
nikivaa miwani wanasema nafanana naye sema mimi na matege makali nikivaa
suti haini fit kama baba Rais mwenyewe. Kwa vile mimi niko hapa Posta
nikisia anapita nasimamaga nampungia sijui kama ananionaga.

Kama kuna mtu JF anaweza kunikutanisha na kiongozi na baba yangu huyu
hata nipige naye picha ya ukumbusho nitafurahi sana.

Inaniumaga sana sometimes watu wanavyomkashifu nahisi kama upanga
umepenya ndani ya moyo wangu na kuona baba yangu kaguswa. Ila najipaga
matumanini kuwa hakuna rais duniani anayependwa hakuna kabisa kila nchi
ina kikundi kidogo au kikubwa cha watu ambacho kinajidai au kinajifanya
kinajua na hicho kikundi kikiingia madarakani kinachemsha twice e.g Arab
uprising saga and aftermath, Misri na huko west Africa.

Mungu ambariki Rais wangu Mungu ibariki nchi yangu na Mungu wabariki
wana JF

Huwezi juwa yaweza kuwa jamaa alipita ndio maana upo hvyo
 
Naomba ni PM user name yake. Au kama unafahamiana naye unikutanishe naye.

Hahaha sababu unayo na nia unayo so ucjal utamuona mzee!!ukifanikiwa uje utupe feedback!ilikuaje yaan! Can't wait kusikia hyo news
 
Ngoja aje THE BIG SHOW ashushe post ulizodai kuwa Nyerere ni kama baba'ko mzazi, exactly the same words kama anazotumia Nduli hapa.

Kisaikolojia, inaonesha kuwa mtoto aliyekosa baba wa kumlea na aliyelelewa na mama pekee ndio huwa katika msongo wa kimawazo wa kutafuta "father figure" katika maisha yake.

Hiyo kitu haijifichi. Nna uhakika nyinyi wote mnaorukia watu mashuhuri (famous) kufikiri kuwa ni baba zenu, mlikosa malezi ya baba na mlilewa na mama pekee. Mnahitaji msaada wa Psychologist na au Psychiatrist kabla haijawaletea madhara makubwa zaidi. Hali kama hiyo mlionayo ikiendelea bila kutibiwa itawafikisha kuwa ma psychopath. Athari zake ni kuweza kudhuru watu au kujidhuru wenyewe au kuchukia wanawake na kupenda wanaume wenzenu. Utamchukia tu mwananamke kwa kuwa mama'ko alikukosesha baba wa kukulea. Poleni sana.

Hujui kama hujui na hutokaa ujue kama hujui.
 
Last edited by a moderator:
Katika maisha yangu hadi sasa nimeweza kugundua watu wanne wanyeyekevu katika taifa langu; wa kwanza sheikh mkuu shaaban simba, wa pili mzee ali hassan mwinyi, watatu rais mh dr jm kikwete na wa nne mzee reginald mengi. Hawa ni watu wenye haiba ya nafsi zenye uwezo wa kupasua mioyo ya watu; nina uhakika hata mabaya wanayofanya au kufanywa na watu wao hawayapendi tokea nafsini mwao bali mashinikizo ya kimazingira. Kumpenda kwako kutakuwa kumejificha kwenye ukweli kwamba nafsi yako imekutana na nafsi ya mh. na umeyeyushwa na ule unyenyekevu wake.

Unahekima sana. Unatakiwa kuwa mchungaji au shekhe kuna dada humu anaweza kukusema mpaka ukafa.
 
Hujui kama hujui na hutokaa ujue kama hujui.

Kisaikolojia, inaonesha kuwa mtoto aliyekosa baba wa kumlea na aliyelelewa na mama pekee ndio huwa katika msongo wa kimawazo wa kutafuta "father figure" katika maisha yake.

cc. Yericko Nyerere
 
Last edited by a moderator:
Kisaikolojia, inaonesha kuwa mtoto aliyekosa baba wa kumlea na aliyelelewa na mama pekee ndio huwa katika msongo wa kimawazo wa kutafuta "father figure" katika maisha yake.

cc. Yericko Nyerere

Sioni shida sana kuliko wewe unayetoka na mtu aliyemzidi baba yako umri yaani babu yako. Na bado unatunyooshea kidole kuwa tuna matatizo ya kiisakilojia wewe utakuwa una matatizo gani? baadae mnasema mmebakwa na kuambukizwa ukimwi.
 
Last edited by a moderator:
sioni shida sana kuliko wewe unayetoka na mtu aliyemzidi baba yako umri yaani babu yako. Na bado unatunyooshea kidole kuwa tuna matatizo ya kiisakilojia wewe utakuwa una matatizo gani? Baadae mnasema mmebakwa na kuambukizwa ukimwi.

omg!!!!!!!
 
Ndugu zangu wana JF,

Naomba nizungumze hili kwani nisipozungumza nikifa mbingu itaniuliza.

Mimi binafsi nampenda sana rais wangu Kikwete, huwa namwona kama baba yangu na sio Rais. Huwa inafika kipindi napenda kuangalia taarifa ya habari nimuone baba yangu aki address National issues. Hata ofisini nikivaa miwani wanasema nafanana naye sema mimi na matege makali nikivaa suti haini fit kama baba Rais mwenyewe. Kwa vile mimi niko hapa Posta nikisia anapita nasimamaga nampungia sijui kama ananionaga.

Kama kuna mtu JF anaweza kunikutanisha na kiongozi na baba yangu huyu hata nipige naye picha ya ukumbusho nitafurahi sana.

Inaniumaga sana sometimes watu wanavyomkashifu nahisi kama upanga umepenya ndani ya moyo wangu na kuona baba yangu kaguswa. Ila najipaga matumanini kuwa hakuna rais duniani anayependwa hakuna kabisa kila nchi ina kikundi kidogo au kikubwa cha watu ambacho kinajidai au kinajifanya kinajua na hicho kikundi kikiingia madarakani kinachemsha twice e.g Arab uprising saga and aftermath, Misri na huko west Africa.

Mungu ambariki Rais wangu Mungu ibariki nchi yangu na Mungu wabariki wana JF
weka picha ewe mtoto wa JK.... anapitaga, napungiaga, wanasemaga, inaniumaga... duuuu wewe jamaa ni mwenyeji wa kwiringa? maana hayo ma-GA yamekuwa mengi mno... huenda baba Riz anamtoto wa kihehe aiseee
 
Lazima awe babako maana wewe ni mzururaji na una watoto kibao nje ya ndoa.*
Dhaifu huzaa dhaifu. Mi angekuwa babangu ningemkataa kabisa, siwezi nikawa na baba wa namna hiyo *omba omba*
Acha kujipendekeza, maisha yamekuwia magumu unamkana babako na kujishebedua shebedua. Mwisho utasema unafanana na li mwigulu, chezea maisha wewe. Hebu jifikirie kama ungekuwa mwanamke ingekuwaje?
 
Sioni shida sana kuliko wewe unayetoka na mtu aliyemzidi baba yako umri yaani babu yako. Na bado unatunyooshea kidole kuwa tuna matatizo ya kiisakilojia wewe utakuwa una matatizo gani? baadae mnasema mmebakwa na kuambukizwa ukimwi.

Si unaona matatizo hayo? au bado hujayaona?
 
Hahaaaaa. NGULI umepinda wewe.... Halafu usiwe unapotea jamvini, unajua kua wewe ndio umenipokea jf na
ukanifanya niipende, bless to you
 
Ndugu zangu wana JF,

Naomba nizungumze hili kwani nisipozungumza nikifa mbingu itaniuliza.

Mimi binafsi nampenda sana rais wangu Kikwete, huwa namwona kama baba yangu na sio Rais. Huwa inafika kipindi napenda kuangalia taarifa ya habari nimuone baba yangu aki address National issues. Hata ofisini nikivaa miwani wanasema nafanana naye sema mimi na matege makali nikivaa suti haini fit kama baba Rais mwenyewe. Kwa vile mimi niko hapa Posta nikisia anapita nasimamaga nampungia sijui kama ananionaga.

Kama kuna mtu JF anaweza kunikutanisha na kiongozi na baba yangu huyu hata nipige naye picha ya ukumbusho nitafurahi sana.

Inaniumaga sana sometimes watu wanavyomkashifu nahisi kama upanga umepenya ndani ya moyo wangu na kuona baba yangu kaguswa. Ila najipaga matumanini kuwa hakuna rais duniani anayependwa hakuna kabisa kila nchi ina kikundi kidogo au kikubwa cha watu ambacho kinajidai au kinajifanya kinajua na hicho kikundi kikiingia madarakani kinachemsha twice e.g Arab uprising saga and aftermath, Misri na huko west Africa.

Mungu ambariki Rais wangu Mungu ibariki nchi yangu na Mungu wabariki wana JF

Dah.. ! JF kuna watu. ..!
 
Back
Top Bottom