Anaitwa mzee Msambila Nyerere,
Kwakukusaidia tu huyo ni babu yangu,
Nyerere ni jina la ukoo tu halina hati miliki kama unavyofikiri mkuu,
Mimi ni mhehe mla mbwa halisi sio wakubahatisha.
Wewe ni mpuumbavu wa akili na roho,
Kwani mimi sio damu ya Nyerere? Au ni damu ya sibilisi?
Naitwa Yericko Nyerere, je sio damu ya nyerere?
Ungehoji kuwa na damu ya Julius Nyerere hapo ningekubishia mkuu, baba yangu ni Yohanesy nasio Julius
Mwambie tukutane hapa HomeUnahekima sana. Unatakiwa kuwa mchungaji au shekhe kuna dada humu anaweza kukusema mpaka ukafa.
kwa mwanamke kumuandama kijana wa kiume namna hii,sio "bure" lazima kutakuwa na jambo linalazimishwa toka kwake ila yeye hataki.
Hehehehe we bi mdash sometimes jau sana,nimecheka sana mbele za watuHata Yericko Nyerere alikuwa anaota kuwa Nyerere ni baba'ke. Wazimu uko wa namna nyingi.
ahahahaAnaitwa mzee Msambila Nyerere,
Kwakukusaidia tu huyo ni babu yangu,
Nyerere ni jina la ukoo tu halina hati miliki kama unavyofikiri mkuu,
Mimi ni mhehe mla mbwa halisi sio wakubahatisha.
ahahahaWewe ni mpuumbavu wa akili na roho,
Kwani mimi sio damu ya Nyerere? Au ni damu ya sibilisi?
Naitwa Yericko Nyerere, je sio damu ya nyerere?
Ungehoji kuwa na damu ya Julius Nyerere hapo ningekubishia mkuu, baba yangu ni Yohanesy nasio Julius
bora mlimshushua!Uzi huu ulifunguliwa mtu anaejiita Yericko Nyerere ajitowe kimasomaso maana kabla ya uzi huu akishambuliwa kwa kujidai kuwa Nyerere ni baba'ke mzazi.
Eti huu ndiyo ukaelekezwa kwa Kikwete ili kufichwa kombe mwanaharamu apite.
Cc technically