Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

mkuu unauhakika na hilo? Punguza wivu kijana

KENGE kweli wewe wivu wanini sasa? unauliza then Una conclude mwenyewe kabla ya jibu Una shida ktk ubongo wako.
 
Mkuu hii ndio itupe fundisho kuwa bunge letu linatunika vibaya kwa wingi wa wabunge wa ccm kupinga kila kitu kinachopelekwa bungeni na upinzani,kwani wapinzani walisha hoji sana juu ya safari za kikweete,walihoji wakaonekana ni wajinga lkn leo hii aibu ni kwa taifa zima including ccm MPs.

Kabisa mkuu....
 
kuuliza si ujinga , hivi jk amewaaga wapiga kura wa Tanzania ?
 
hakualikwa tu kapiga simu kutaka kwenda wakamwambia wana uchaguzi haruhusiwi la sivyo kama mwaliko tayari uchaguzi ulijulikana ni wa lini na wasinge schedule hivyo.
 
pamoja na kwamba aliyekataliwa ni jk lakini aibu kubwa wamebeba watz wanaoishi nchi hiyo .
 
Aibu kwa JK au mwingine? ha ha ha ha JK hanaga aibu aisee....

Huyu jamaa kweli mgeni kwa JK , aibu kwa JK ni msamiati ambao hauelewi kama aliweza kuita waandishi wa habari na kuomba air time asimulie alivyo papaswa na kupasuliwa tezi, ataona aibu kusema kafukuzwa? Sana sana atawacheka tu.
 
pamoja na kwamba aliyekataliwa ni jk lakini aibu kubwa wamebeba watz wanaoishi nchi hiyo .

Kweli mkuu, kuna mmoja kaja anatoka povu huyo eti hata waziri mkuu wa uingereza kazuiwa, jamaa kwa aibu hajui w/mkuu wa uingereza alitoa taarifa akaambiwa haiwezekani mpaka uchaguzi uishe akaahirisha safari, mkwere yeye katia timu kaambiwa geuka, haoni tofauti. Aibu sana.
 
... Angechapwa Kwanza Bakora.! Anaingia Nchi Za Watu Badala Ya Kukaa Kwake
 
Navipongeza zaidi vyombo vya serikali ya Denmark kwa kuzingatia taratibu za nchi hiyo, na kwa kutompendelea kiongozi wa serikali ya nchi hiyo na Chama tawala.

Sio kwenda tu kama vile unaenda msalany.
 
Aisee nimevutiwa Sana na demokrasia za Wenzetu zilivyo na usawa....

ingekua hapa waziri mkuu au Rais aliyepo madarakani ambaye naye ni mgombea atafanya manyanga yote kwa kofia ya urais licha ya kwamba inampa favour kuliko wenzie....

Angalia TBC1 inavyotoa airtime kwa CCM kuliko vyama vingine ingawa inaendeshwa kwa kodi zetu sote....

Media hapa kwetu is not free and fair. Their reporting is so much influenced by people with power and deep pockets. Owners wa vyombo vya habari na waandishi wa habari hata wa kujitegemea kama Pasco wa JF wako so biased. Usipolipa, they report you negatively au hawaripoti kabisa. In short, they don't call it what it is. Reporting yao ni kwa malengo fulani, hususan maslahi binafsi na si kueleza ukweli. Moreover, waandishi wa habari tulio nao wengi wao ni incompetent. Wanajua kuripoti matukio (kama ukilipa) but no analysis at all.

Nachelea kusema media nchini Tanzania inachangia kwa kiasi kikubwa kudumaza demokrasia hapa nchini. They are really failing us. Media ikifanya kazi yake ipasavyo, jamii itanufaika kwa kiasi kikubwa sana. Hata tabia ya watawala wetu itabadilika sana. Ukitaka kujua madudu ya media hapa nchini, angalia coverage yao msimu huu wa uchaguzi. Badala ya kuwa critical kwa wagombea, kila mmoja (including media houses) anatafuta mgombea anayelipa pesa nzuri na kuanza kumpamba. This is not okay.
 
Loading........bado sijakusoma vyema kwa mbaaaali naona mawazo yako yanatawala zaidi, badala ya kutua swali uwanjani ujibiwe!sasa uliuliza ujijibu ?AMA utoe lawama Kabisa?acha hizo wewe!!!
 
Loading........bado sijakusoma vyema kwa mbaaaali naona mawazo yako yanatawala zaidi, badala ya kutua swali uwanjani ujibiwe!sasa uliuliza ujijibu ?AMA utoe lawama Kabisa?acha hizo wewe!!!

Umeandika kitu gani hiki?
 
Media hapa kwetu is not free and fair. Their reporting is so much influenced by people with power and deep pockets. Owners wa vyombo vya habari na waandishi wa habari hata wa kujitegemea kama Pasco wa JF wako so biased. Usipolipa, they report you negatively au hawaripoti kabisa. In short, they don't call it what it is. Reporting yao ni kwa malengo fulani, hususan maslahi binafsi na si kueleza ukweli. Moreover, waandishi wa habari tulio nao wengi wao ni incompetent. Wanajua kuripoti matukio (kama ukilipa) but no analysis at all.

Nachelea kusema media nchini Tanzania inachangia kwa kiasi kikubwa kudumaza demokrasia hapa nchini. They are really failing us. Media ikifanya kazi yake ipasavyo, jamii itanufaika kwa kiasi kikubwa sana. Hata tabia ya watawala wetu itabadilika sana. Ukitaka kujua madudu ya media hapa nchini, angalia coverage yao msimu huu wa uchaguzi. Badala ya kuwa critical kwa wagombea, kila mmoja (including media houses) anatafuta mgombea anayelipa pesa nzuri na kuanza kumpamba. This is not okay.

Umemaliza mkuu...
 
Back
Top Bottom