Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

Rais Kikwete azuiliwa kuingia Denmark

Hoja hii haihusu vyombo vya habari, inahusu Tume huru ya uchaguzi. Hiki ndicho chombo kinachosimia kuona kuna mizania sawa na ndicho kilichokataza siyo vyombo vya habari. Vyombo vya habari kama angeruhusiwa vingeripoti matukio tu. Tume huru siyo Tume Tumwa kama ya kwetu ndiyo imeutafsiri ujio huu kuwa ungemwongezea muda Waziri Mkuu aliyepo madarakani. Tume Tumwa haiwezi kuthubutu kulisema hili
Rais Wa Tanzania ndugu Jakaya Mrisho Kikwete amezuiliwa kuingia Denmark kutokana na vuguvugu la uchaguzi nchini humo baada ya kubainika kuwepo kwake kungempa nafasi zaidi ya kuonekana waziri mkuu Wa sasa kitendo kilichotafsirika Kama kumpigia kampeni.

RAIS Jakaya Kikwete ambaye amekuwa katika ziara za kuaga washirika wa mandeleo katika nchi za Scandinavia, amekataliwa kuingia Denmark kwa madai kuwa ziara yake itatumika kisiasa kumnufaisha Waziri Mkuu wa sasa wa Denmark.

Nchi hiyo inatarajia kufanya uchaguzi wake mkuu wiki ijayo. Zuio hilo limekuja baada ya vyombo vya habari na vyama vya siasa kudai kuwa ziara hiyo ingetumika kumnufaisha Waziri Mkuu aliyepo kwa kumpa muda wa ziada mbele ya vyombo hivyo wakati huu wa kampeni.

Vyama vyote vya kisiasa vinapata muda sawa mbele ya vyombo vya habari na kwa hiyo uwepo wa Rais Kikwete nchini Denmark ungesababsha Waziri Mkuu aliyepo madarani kuonekana mara nyingi akimpokea mgeni wake.

Rais Kikwete hivi karibuni amefanya ziara katika nchi za Finland, Sweden, Uholanzi ikiwa ni sehemu ya kuaga kutokana na muda wake wa kuwa madarakani kufikia ukingoni.

MY TAKE:
Vyombo vya habari hapa kwetu vijifunze kutoka kwa Wenzetu viache ushabiki na viweke mizani sawa kwa wagombea na vyama vyote.....
 
mara nying viongoz wet hawafikir mbel kun nn akishackia safar yuko tayr kwenda
 
Hoja hii haihusu vyombo vya habari, inahusu Tume huru ya uchaguzi. Hiki ndicho chombo kinachosimia kuona kuna mizania sawa na ndicho kilichokataza siyo vyombo vya habari. Vyombo vya habari kama angeruhusiwa vingeripoti matukio tu. Tume huru siyo Tume Tumwa kama ya kwetu ndiyo imeutafsiri ujio huu kuwa ungemwongezea muda Waziri Mkuu aliyepo madarakani. Tume Tumwa haiwezi kuthubutu kulisema hili

Mkuu na wao watawala wana wajibu wakuweka usawa ili haki itendeke.
 
Rais Wa Tanzania ndugu Jakaya Mrisho Kikwete amezuiliwa kuingia Denmark kutokana na vuguvugu la uchaguzi nchini humo baada ya kubainika kuwepo kwake kungempa nafasi zaidi ya kuonekana waziri mkuu Wa sasa kitendo kilichotafsirika Kama kumpigia kampeni.

RAIS Jakaya Kikwete ambaye amekuwa katika ziara za kuaga washirika wa mandeleo katika nchi za Scandinavia, amekataliwa kuingia Denmark kwa madai kuwa ziara yake itatumika kisiasa kumnufaisha Waziri Mkuu wa sasa wa Denmark.

Nchi hiyo inatarajia kufanya uchaguzi wake mkuu wiki ijayo. Zuio hilo limekuja baada ya vyombo vya habari na vyama vya siasa kudai kuwa ziara hiyo ingetumika kumnufaisha Waziri Mkuu aliyepo kwa kumpa muda wa ziada mbele ya vyombo hivyo wakati huu wa kampeni.

Vyama vyote vya kisiasa vinapata muda sawa mbele ya vyombo vya habari na kwa hiyo uwepo wa Rais Kikwete nchini Denmark ungesababsha Waziri Mkuu aliyepo madarani kuonekana mara nyingi akimpokea mgeni wake.

Rais Kikwete hivi karibuni amefanya ziara katika nchi za Finland, Sweden, Uholanzi ikiwa ni sehemu ya kuaga kutokana na muda wake wa kuwa madarakani kufikia ukingoni.

MY TAKE:
Vyombo vya habari hapa kwetu vijifunze kutoka kwa Wenzetu viache ushabiki na viweke mizani sawa kwa wagombea na vyama vyote.....

Kwanza hiyo ziara ina manufaa gani kwa taifa? Hana internet connection ya kuandika email au kupiga simu ya kuwaaga hawezi mpk asifiri? Nchi hizo hazina balozi hapa nchini? Si angewaalika mabalozi ikulu for a cocktail party na kuwasilisha ujumbe wake kwa mataifa husika?

Au nini maana ya kuwa na balozi zetu nje ya nchi? Our priorities ni kama za ...
 
Inaelekea hakua nao, labda alimpigia cm akiwa airport kuwa kazuiwa, na akaambiwa ni sawa kabisa. Uswahili hauna mipaka ukikozoea basi utaambatana nao tu.

Mkuu wacha unafiki na umbea sio Kikwete tu aliyezuiliwa kuingia hapa Danmark hata waziri mkuu wa uingereza amezuiliwa pia na ni kutokana na uchaguzi ambao unatazamiwa kufanyika mapema wiki ijayo
 
Ni kweli watawala wana wajibu wa kuweka usawa wakiutaka usawa, lakini wasipoutaka wanawajibu wa kuzuia usawa kutendeka. Kwa kuwa wanamadaraka wanaweza pia kwa kuyatmia madaraka waliyopewa kujiongezea madaraka ambayo hawakupewa. Katiba, sheria, kanuni na miongozo vyote vipo pale ili kumsaidia mtawala kutawala siyo kumsaidia mtawaliwa kutawaliwa.
Mkuu na wao watawala wana wajibu wakuweka usawa ili haki itendeke.
 
Mkuu wacha unafiki na umbea sio Kikwete tu aliyezuiliwa kuingia hapa Danmark hata waziri mkuu wa uingereza amezuiliwa pia na ni kutokana na uchaguzi ambao unatazamiwa kufanyika mapema wiki ijayo

Sasa unafiki wake nini? amezuiliwa au hajazuiliwa?

kima kweli wewe!!!
 
Rais Wa Tanzania ndugu Jakaya Mrisho Kikwete amezuiliwa kuingia Denmark kutokana na vuguvugu la uchaguzi nchini humo baada ya kubainika kuwepo kwake kungempa nafasi zaidi ya kuonekana waziri mkuu Wa sasa kitendo kilichotafsirika Kama kumpigia kampeni.

RAIS Jakaya Kikwete ambaye amekuwa katika ziara za kuaga washirika wa mandeleo katika nchi za Scandinavia, amekataliwa kuingia Denmark kwa madai kuwa ziara yake itatumika kisiasa kumnufaisha Waziri Mkuu wa sasa wa Denmark.

Nchi hiyo inatarajia kufanya uchaguzi wake mkuu wiki ijayo. Zuio hilo limekuja baada ya vyombo vya habari na vyama vya siasa kudai kuwa ziara hiyo ingetumika kumnufaisha Waziri Mkuu aliyepo kwa kumpa muda wa ziada mbele ya vyombo hivyo wakati huu wa kampeni.

Vyama vyote vya kisiasa vinapata muda sawa mbele ya vyombo vya habari na kwa hiyo uwepo wa Rais Kikwete nchini Denmark ungesababsha Waziri Mkuu aliyepo madarani kuonekana mara nyingi akimpokea mgeni wake.

Rais Kikwete hivi karibuni amefanya ziara katika nchi za Finland, Sweden, Uholanzi ikiwa ni sehemu ya kuaga kutokana na muda wake wa kuwa madarakani kufikia ukingoni.

MY TAKE:
Vyombo vya habari hapa kwetu vijifunze kutoka kwa Wenzetu viache ushabiki na viweke mizani sawa kwa wagombea na vyama vyote.....

http://m.thelocal.com/20150527/cameron-cancels-denmark-visit-after-election-called
 
Watanzania wenzangu tujisifu kupata rais makini kiasi hiki.

Kama Tume ya Uchaguzi ya Denmark imehofia kuwa rais wetu Kikwete akiingia Denmark kipindi hiki cha uchaguzi basi anaweza kusababisha raia wa Denmark wampigie kura mgombea ambaye atakuwa na rais Kikwete.

Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki Kikwete.
Too low thinking.una maana rais wa malawi au rais wa nchi nyingine angeruhusiwa kuingia?
 
Back
Top Bottom