nemulo
JF-Expert Member
- May 5, 2014
- 1,589
- 441
Picha ya dr grace plz
Mkuu wale ma DC ni chamtoto...
Picha ya dr grace plz
Huku ni kutumia madaraka vibaya.
He never been serious, au hana washauri au labda wanamuogopa.
Hizo hela zakugaramia Hawa wabunge kwa hiyo miezi 3 iliyo baki angechimba visima vingapi vya maji kwa watanzania wanaotaabika bila maji.
A very simple understanding! Sijui watanzania tulizaliwa na mwanamke gani tunakuwa namna hii.
Ukikosa uongozi wakati huu wa JK, hauji kuwa kiongozi maisha yako yote!!! Juliana Shonza
Acha wenye nyota zao waendelee kula.
Nahisi sababu ni ili wafike 10 kwasbb katiba inamruhusu.
Watu wameongeza CVKwa kweli hata kama mkuu anatumia mamlaka yake kwa mujibu wa katiba, timing yake inatia mashaka sana. Imebakia miezi mitatu+ kitu kidogo tu ili bunge livunjwe. Hivi kweli uteuzi huu ni wa lazima? Au kuna watu walikuwa hawajapewa zawadi na uteuzi huu ndo zawadi yao?
Kweli raisi rahisi tunaye!
Mbona wameingizwa dakika za majeruhi?
Au walikua masomoni!
Watalipwa kutokana na muda watakao hudumu kwenye bunge,ila najiuliza wanin?au anataka kubadili baadhi ya mawaziri?