Rais Kikwete ateua wabunge wapya wawili

Rais Kikwete ateua wabunge wapya wawili

Daaaah kuna vitu vingine unaweza tukana halafu ukapata ban na kutafutwa na tcra juu... Hii maana yake nini?
 
JK baada ya kuondoka madarakani TZ itachukua at least miaka 20 ku recover kwa damage aliyo iacha
 
hivi kila utakacholetewa mezani lazma umalize?
kikwete kumbe ni kweli huna huruma na nchi hii?
nitakudharau sana na use makini ukistaafu nakupiga ngumi kumbe mile kibao cha mwinyi kilificha mengi
 
Hivi huyu mtu hana uchungu na hela za watanzania - walipa kodi? serikali haina hela, bunge limebaki kipindi kimoja liishe bado anapeleka watu bungeni. wanaenda kufanya nini? hii ni kumaanisha nini?
 
Na hili suala bado katiba pendekezwa ya CCM imelibeba kama lilivo. No changes
 
Haya ndio mambo tulikuwa tunataka kuyadhibiti kwenye katiba ya warioba.ccm nyoko zenu.
 
Mbona wameingizwa dakika za majeruhi?
Au walikua masomoni!
 
Baraza lake la mawaziri haliaminiki wakati wowote linaweza likakumbana na joto kali likayeyuka kama pembe zilizogandishwa kwa nta.

Kwa hiyo mzee wa watu amejiandalia sipea kabisa ili baraza lake likiyeyuka asipate shida wapi pakupata sipea,atajichukulia sipea zake na kuzibandika palipopungua,bora punda afe mzigo ufike.
 
Watalipwa kutokana na muda watakao hudumu kwenye bunge,ila najiuliza wanin?au anataka kubadili baadhi ya mawaziri?
 
Jussa alivyoteuliwa na mkapa 1995 Julai ulipiga kelele? Au Kwa vile alikuwa CUF? Ukichagua wote(10) mwanzoni ikitokea Bahati mbaya huwezi kuchagua wengine kuziba nafasi.
July 1995 Mkapa hakuwa raisi wa nchi hii. Alikuwa amechaguliwa kugombea uraisi. Sasa twambie vizuri Jusa aliteuliwa na naji na lini. Hata hivyo kama makosa yalifanywa huko nyuma haihalalishi kuyarudia!
 
Huku ni kutumia madaraka vibaya.
Ni kweli kabisa ngongo.....kwani bunge ni timu ya mpira au basketball kwamba inahitaji idadi fulani ya watu ili jambo lifanikiwe?Kwanza wabunge 300 mule ndani ni hopeless.....maybe he is adding more.
 
Unadhani hao anahabari za uwepo wao? Hao wanawashwa tuu na kuamua kujisulubu mitandaoni. Wenzao wakina Gurumo wanajilia nchi wao wanasubiri kumpiga mizinga Mwigulu au Nape. Tena wakati mwingine kwa malipo ya nanihii.

Hawa vijana wana umaskini mkubwa sana akilini mwao ngoja waendelee kumpigia mwingulu saluti. Eti wana matumaini mwingulu atakua rais na Juliana shonza atapewa uwaziri wa fedha Stela Mwampamba nishati na madini.
 
Hapa JF kuna taarifa ya raisi Kikwete kuteua wabunge wawili kwa mujibu wa mamlaka aliyonayo kikatiba.

Hata hivyo,nashangaa uteuzi huu kutotangazwa Channel ten na ITV.Nimeangali taarifa za habari katika vituo hivi sijaona kabisa habari hii.

TBC1 na Star tv nimeangalia news ticker zao hii habari pia hola!

Sasa hii mbona si kitu cha kawaida!Yaani uteuzi wa Ikuku safari hii umekuwa si habari!

Kwakweli uteuzi huu hatukuutarajia na hata haustahili na pia ni matumizi mabaya ya madaraka lakini media zetu hii si kawaida yao kabisa!
 
Back
Top Bottom