myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Mh kama kweli hizi hesabu, mungu atusaidie. Tutaendelea kweli?
Kweli kabisa ila mageuzi yangeanzia katika katiba ili kubana nafasi ya uraisi ambayo kwa sasa inaonekana kila mmoja anafaa kuongoza nchi hii!Huyo ndo raisi wetu mwana wane. Tulipewa pilau, kanga na nguo za kijani tukaona maisha bora ndo haya. Sasa ndo tunaanza kuamini kuwa mkulu ni dhaifu? Kimsingi wengine hatushangai sana maana tunamjua! Tukumbuke tu kuwa makini tusiingize ikulu mtu anayefanana na handsome boy huyu; a guy who's never serious with any serious matter. Ni shiiiida sana!
Kwanini JK anamtosa Le Mutuz kila uteuzi?
Are you dreaming? did you see the date of the post?Pongezi nyingi kwao
Yes, I am aware of it. What's wrong with you?Are you dreaming? did you see the date of the post?
OK, NI HILO TU, Over and out.Yes, I am aware of it. What's wrong with you?
ReincarnationHuu uzi VP .....