Rais Kikwete ateua wabunge wapya wawili

Rais Kikwete ateua wabunge wapya wawili

Kwa tathmini ya haraka wabunge wote walioteuliwa na rais wamefanya kazi nzuri ila hili la uteuzi wa dakika za majeruhi limekaa kama kwenye mpira wa miguu hivi kocha anatafuta wa kumwokoa. Not cost effective not output oriented and not of public interest
 
Hii tabia ya kutumia kodi zetu kulipana fadhila hii!!
 
Kwani asipofikisha idadi ya hao wabunge10 ni kosa? Kuna umuhimu gani wa kuteua wabunge wapya wakati imebaki mwezi michache Bunge livunjwe? Kweli hii Serikali ni ya kishkaji, kama ni hivyo ufanyike Uchaguzi mdogo kwenye jimbo lilivyokua linaongozwa na Zipo Kabwe.
 
kwa nini ccm mnatumia rasilimali za nchi vibaya hivyo kuna haja gani ya kufanya uteuzi huo.. Kwa hesabu ya haraka mpaka pale bunge litakapovunjwa watajichukulia kibindoni zaidi ya milioni 80. nchi kwa sasa ipo kwenye hali mbaya na unafanya government expenditure ambazo hazina umuhimu kwa nini msingenunua ambulance au mjenge zahati .
hakika ccm mmeisha na hata kufikiri hamuwezi .
 
Kwa wastani Rais ana ujumbe katika hili. Tusimkosoe kihivyo. Wadadisi watatambua. ... 'Ndiyo' au 'hapana'kwenye ile pendekezwa.
 
Hivi nao walioteuliwa wanakubali mzaha huu! Halafu eti mtu ni Dr! Udokta feki tu
 
sasa mpaka waje wasome kanuni na kuzielewa ni leo jk mimi hukuniona jamani alafu ni jirani yako pale msoga ulisoma kabisa na mzee wangu
 
Inasikitisha na kuhuzunisha sana ivi hao wabunge ni kazi gani hasa wanayoenda kuifanya nakustahili kulipwa kiinua mgongo cha karibu Milioni 100 kwa hao wawili,kwastahili hii tutaendelea kuwa maskini nakutembeza bakuli kila siku mie hainiingii akilini kabisa huu uteuzi nikupeana ulaji tu.
 
Hakika leo ndo nathibitisha kwamba huyu jamaa ni Dhaifu kupita maelezo...!!!! Khaaaaaaaa

Sasa hiyo miezi mitano iliyosalia (Kikao kimoja cha Bunge) Watafanya kazi gani hawa wabunge? Yaani watu wafanye kazi miezi mitano tu then wapewe masurufu juu....!!!

Huwa nawashangaa sana wanaodai ati hii nchi ni masikini haina hele...!!!! Haina hela????


Real kabisa mtu unasimama mbele ya kadamnasi na kudai Tanzania ni nchi masikini tena ati hujui kwamba umasikini wa nchi hii hujui unatokana na nini?? We utakuwa mgonjwa kuliko misukule yote ya Lumumba hadi laki si pesa.!!

Goooooooosssshhhhhhh!!!!

BACK TANGANYIKA

Jussa alivyoteuliwa na mkapa 1995 Julai ulipiga kelele? Au Kwa vile alikuwa CUF? Ukichagua wote(10) mwanzoni ikitokea Bahati mbaya huwezi kuchagua wengine kuziba nafasi.
 
Last edited by a moderator:
Alikuwa wapi toka 2010? Leo ndio kaikumbuka katiba?

Oka vipi kuhusu pengo la Mnafiki Zitto na Komba?
 
Mkuu Mwana Mpotevu kwangu haya majina ni mapya kwangu, hukufanikiwa kujua kwamba hawa ni akina nani kwa sasa?

Dr Grace Puja is a Senior Lecturer from the University of Dar es Salaam. Her PhD is in Sociology and Equity Studies in Education from the University of Toronto. Dr Puja’s research interests are in the areas of gender issues in education. Her research and publications have been on teenage pregnancies, gender violence in Tanzanian university campuses, the effects of language of instruction on the quality of education and teacher education in developing countries. She has also been engaged in a variety of research projects examining economic strategies used by women in rural and urban areas in Tanzania and a consultant to a number of overseas internationally funded research projects.
 
JK, unawatesa watetezi wako! Haya, LUMUMBA!!! njooni huku jamaa tayari kaisha fanya yake...
 
Ha ha ha why Mdau?Jamaa anatumia mamlaka ya Kikatiba
Kwa kweli hata kama mkuu anatumia mamlaka yake kwa mujibu wa katiba, timing yake inatia mashaka sana. Imebakia miezi mitatu+ kitu kidogo tu ili bunge livunjwe. Hivi kweli uteuzi huu ni wa lazima? Au kuna watu walikuwa hawajapewa zawadi na uteuzi huu ndo zawadi yao?
Kweli raisi rahisi tunaye!
 
Huku ni kupoteza pesa za serikali bure,yaani unamchagua mtu leo anakwenda kuondoka na kiinua mgongo cha miaka mitano jamani halafu mnasema nchi haina pesa.haya ndio tunasema ni matumizi mabaya ya pesa za umma.
 
Back
Top Bottom