Zack Abdul
JF-Expert Member
- Mar 9, 2026
- 611
- 554
"Mhe. Naibu Spika, Naomba kutumia fursa hii kumpongeza kwa dhati, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuendelea kuiongoza nchi yetu kwa Umahiri, Mafanikio makubwa pamoja na Uzalendo.
"Napenda pia Niungane na Wabunge na Watanzania wote kutoa pongezi kwa Mhe. Deogratius John Ndejembi kwa Kuteuliwa, Kuthibitishwa na Kuapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania".
"Napenda kutumia fursa hii kuwapongeza Watumishi wote wa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali wakiongozwa na Ndugu Samwel Maneno kwa kujituma na kutekeleza majukumu yao kwa Umahiri na Weledi".
"Aidha, Ninawashukuru kwa namna ya pekee Watumishi wa Ofisi ya Mwandishi Mkuu wa Sheria chini ya Uongozi wa Ndugu Onorius Njole, Mwandishi Mkuu wa Sheria kwa ushirikiano na msaada mkubwa walionipatia katika hatua mbalimbali za kushughulikia Muswada huu".-
Mhe. Hamza S Johari
Mwanasheria Mkuu wa Serikali,
Tarehe 1 Septemba, 2026
Bungeni, Jijini Dodoma.