Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 12,152
- 44,110
Uteuzi huu wa nini hasa kwa kipindi hichi cha bunge kwenda kuvunjwa?
Rais Kikwete amemteua Dr Grace Pujah na Bw Innocent Seba kuwa wabunge wapya katika bunge la Muungano kuanzia tar 20 Machi.
Kufuatia uteuzi huo, sasa JK amemaliza orodha wa wabunge wote kumi wa kuteuliwa kwa mujibu wa mamlaka aliyopewa na Katiba.
===========
Katuchoka huyo

Huku ni kutumia madaraka vibaya.
dr grace ni mwalimu kile chuo cha iringa st augustineMkuu Mwana Mpotevu kwangu haya majina ni mapya kwangu, hukufanikiwa kujua kwamba hawa ni akina nani kwa sasa?