ChaterMaster
JF-Expert Member
- Aug 17, 2009
- 1,623
- 808
Hii nchi ina wajinga zaidi ya 80% kutokana na tafiti..... Wala sishangai haya yakitokea na watu kuwa kimyaa...
What a poor mind citizens....
What a poor mind citizens....
Mkuu kwani hujui maana ya wabunge wa kuteuliwa?Sasa hawa wanakuwa wabunge wa wapi?
I mean wa jimbo gani?
Ama wanakua wabunge private?
Mwenye kujua naomba anielimishe jamani
Mkuu kwani hujui maana ya wabunge wa kuteuliwa?
Sababu za kuwateua ni zipi hasa?
Jimbo la ikuluSasa hawa wanakuwa wabunge wa wapi?
I mean wa jimbo gani?
Ama wanakua wabunge private?
Mwenye kujua naomba anielimishe jamani
Kuna vitu vingine JK anafanya hadi mtu unajiuliza hivi JK anapopewa ugali na mboga, anaanza ugali au anaanza mboga ?
Toilet paper huwa haifuliwi mwasu
dr grace ni mwalimu kile chuo cha iringa st augustine