TBC wapo busy na wanyama tu!!!
wanaonyesha ndugu zake yule waziri flani hivi!!
Mbona inaeleza mambo ya Wanyama (Gorila)????!!!
au saaa kumi bado haijafika?!!:drama:
Mbona dk 10 zimepita tangu sa 10 ipite?
Moderator, fungieni alieanzisha uzi
Labda mkulu amekula hii chakula yetu akakabwa na mifupa!!Sasa hii nayo inakuwaje Habari Mpasuko ? Mbona tangu tarehe 20/04/2012 watu wanasubiri hiyo hotuba !!!
wakazi gani kwenye shamba la bibi kama hili wakati nikuingia na kujichumua na kuondoka?maana sijaona tofauti ya kuwa na kutokuwa nao. Zaidi uwepo wao unaongeza gharama za bure!!!hivi kuna ulazima wa kuwa na mawaziri?
mi nashangaa gorilla wa nini wakati huu! au ni kiashiria cha aina fulani, wonders never cease!
Nipo mahali na watanzania wenzangu tukijadili atakachokisema mh Rais wa Jamhuri, lakini siwezi kusema kuwa nasikitika bali napata mshangao jinsi hawa watanzania walivochoka na Mh wetu, naomba nimnukuu mmoja wao alichokisema "tunamshangaa sana Rais wetu kwanza kuburuzwa na CC halafu hao mawaziri atakao wateua hawatatusaidia chochote nao watakula na kufuja mali vile vile, la msingi rais atuangalie wananchi na shida zetu maisha bora kwa kila mtanzania yapo wapi wakati mfumko wa bei unaongezeka" mwisho wa kunukuu, sasa nachojiuliza, je watanzania hawa nilionao hapa ni kweli hawajui umuhimu wa mawaziri au ni nini kinawatatiza.[usimwamshe aliye lala ]