Aise jk kaharisha au?
Labda mkulu amekula hii chakula yetu akakabwa na mifupa!!
minofu si tunawauzia wazungu??!!
![]()
hadi afe then anatemwa na kupigwa dochi
Jamaa wewe umenichekesha kweli (tafasiri yangu). Ina maana kuna watu waliotoswa na bahati mbaya wakawepo hapo ikulu watazimia ili wawabebe kwenye ambulance? au...Nimekutana na misafara yao maeneo ya Aga Khan wanakimbilia Ikulu huku Ambulance zikifuata ila sijaelewa kwanini kumekuwa na Ambulance, je mwawezanifahamisha kazi ya ambulance kwene kutangaza baraza??
TBC wapo busy na wanyama tu!!!
wanaonyesha ndugu zake yule waziri flani hivi!!