Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
uswahili ndio huo mpaka ikulu kumekua na uswahili
watu wanaulizaga nini maana ya uswahili ... uswahili ndiyo huu ...unasema utafanya press conference saa kumi kamili lakini zimeshapita dakika kumi na kadhaa bado upo upo tuu ... time is money
 
Bora mi nipo zangu ofisin tunaendelea na training, nakula update kwa mobile
 
Uteuzi huu wa dharura ni ushahidi kuwa, hata baraza limekuwa kama zima moto. Mbona hatangazi tu, au bado anabadilisha majina!
 
Kweli kabisa wameisha tangaza kuwa wakati wowote JK atatoa hotuba. Usikae mbali kama kuna runinga karibu sogelea. Ni Kweli
 
Kwa kipindi chote cha utawala wake tumekuwa sawa na nchi isiyokuwa na mawaziri. Hivyo, bora tungekaa bila mawaziri maana tutazidi kuibiwa. Si keshakiri mwenyewe kwamba Mawaziri wamegeuka mchwa wa kula fedha za umma!!!!
 
Ahutubie asihutubie hana jipya huyo.....asubiri muda wake akanyee debe.. Tutamfunga na mawaziri wake wezii tu.. Aende zake
 
Naona Documentary ya watu wa wapi sijui wako maporini... Kama ni TBC ndiyo itakayoonyesha,inashindwa kuandika taarifa kwa chini jamani..." kaa hapo hapo(stay tuned) kwa matangazo ya moja kwa moja toka Ikulu..."

inashindikana??
 
watu wanaulizaga nini maana ya uswahili ... uswahili ndiyo huu ...unasema utafanya press conference saa kumi kamili lakini zimeshapita dakika kumi na kadhaa bado upo upo tuu ... time is money

Mkuu LAT ni WAKATI WOWOTE KUANZIA SAA KUMI hivyo subiri!
 
Last edited by a moderator:
Sasa hii nayo inakuwaje Habari Mpasuko ? Mbona tangu tarehe 20/04/2012 watu wanasubiri hiyo hotuba !!!
 
umenifanya nivumilie kuendelea kuangalia wanyama
Mkuu watajiunga muda si mrefu. nimesikia TBC radio wakisema hawana regular vipindi punde watajiunga na viwanja vya ikulu kutuletea uteuzi wa baraza la mawaziri.
 
Vipi Mh. Rais ameingia mitini? Sasa hivi ni saa kumi na robo jioni kwa saa za Afrika Mashariki!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom