Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Teh teh jamani Matola angalia naona Rejao anakutafutia BAN,mwache Rejao afurahia kivulini akifikiri mti bado unastawi kumbe mizizi yote imeoza
 
Mbona kimya Wakuu wakuu muda unaenda au wahariri wanakunywa juice ya ukwaju magogoni aliyepo magogoni online atujuze jamani! presha inashuka nina karibu chupa ya tatu ya kahawa ya moto ili kupandisha presha!
 
Hii inasikika tu Arusha na na Moshi....ni kama redio mbao tu!!

Na huko Mbeya na Iringa ambako wapangaji wote wa mogogoni washaonjeshwa joto ya jiwe nako ni sehemu ya arusha na Moshi?
 
Mkuu hii ni lugha ya matusi.. Kuwa MSATAARABU

hahahahaaa...!!!kusema ccm inaingia hedhi ndo sio ustaarabu? wewe inabidi umuulize jinsi ccm inavyo ingia hedhi ukikuta sio ndo usema hivyo.
 
saa kumi ameshatimia au amesogeza tena mbele.
 
Siku ukinifahamu utachanganyikiwa..... Tunavunja upinzani taratibu, shuhudia maajabu mengine baada ya muda mfupi!!
By 2015 no upinzani!!
mimi hapa naona Kiduku tu!!
kama vile naangalia harusi ya Uswazi ya kufunga mtaa.

kama hivi!!..........what you know best!!
2.JPG
 
hizi ndio kauli za CCM. yaani ukifuatilia sana majigambo na Dharau za Rejao ndio utaijui CCM vizuri. Yaani Rejao represent a complete CCM image.

Umimi-- Uchami- na Dharau nyingi kwa walalahoi. kama kuna anayeona nina danganya afuatilie mijadala ya Rejao.

Tunashukuru sana Rejao.
Hamna aliyedharauliwa...watu tumezoea kulalamika sana. Tunataka serikali itufanyie kila kitu, wakati kwa hali ya kawaida haiwezekani!! Hata leo hawa mavuvuzela wa CDM wakiingia madarakani, hawawezi kufanya chochote. Mimi siku zote huwa nahamasisha ufanyaji kazi kwa bidii na kwa nguvu zote. kwa kujituma, kila kitu kinawezekana!!
 
Profesa maji marefu atakuwa Waziri wa Afya?. nasikia nyumbani kwake wanafuraha kuliko kawaida.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom