Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Jamani, tujuzeni basi. mimi ninashidwa kuendelea na mambo yangu mpaka nijue ni nani hao wameteuliwa
 
Kila kitu usanii tuuuu..... Taifa la wasanii.. Mmmh!!
 
Damn it! punguza presha, mchwa watatangazwa na wataendelea kufaidi cake kama kawa.Chamsingi tujipange 2015 tujikomboe mikononi mwa mchwa, ni hilo tu
 
Itakuwa vipi kama JK badala ya kutangaza baraza la mawaziri ('lililosukwa'!) akaamua kutangaza kujiuzuru wadhifa wake wa urais?:clap2::clap2::clap2::madgrin::madgrin::madgrin:
It will be the happiest day in my life.
 
hivi inawezekana kutangaza baraza jipya la mawaziri kabla hujavunja baraza lenyewe.!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
JFM,
Clouds fm punde watajiunga na ikulu kutangaza live tukio la baraza jipya/liliorekebishwa sasa hivi.

Tutegee sikio japo najua wengi hamkipendi hiki kituo kutokana na uzandiki wake!!

Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni katika baadhi ya mambo wanafanya vizuri. Mfano PB, LEO TENA, NJIAPANDA, SPORT EXTRA tuache udhaifu wa watu wachache
 
Endeleeni kuwa watulivu mwenyekiti wa CCM atahutubia muda si mrefu
HAPO%252BSASA.jpg
 
Huku hasikiki !!! Ni hiyo tu ndio inatangaza ? Vipi kuhusu ITV ?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom