Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Hata TBC(T) watakuwa live. Kama simu yako ina karedio tegesha 92.3
 
TBC na manyani yao mida hii.Hi chanel kweli imeishiwa vipindi.
 
Wakati mkisubiri sikilizeni kibao hiki cha Jimmy Cliff.......ujumbe tosha kwa kina Ngeleja

Jimmy Cliff -House of exile - YouTube

House Of Exile - Jimmy Cliff


There's a day of feasting and a day of famine
Day of sadness and a day of joy
You could see in the day of feasting
Life isn't just a little play-like toy.


So the day arrived when you least expected
Cos you always thought you were well protected
Now you feel like a fish out of water
So now you're wondering what's the matter.


Oh remember you said it wouldn't happen to you
Now you're thinking how to start a new
A drowning man will catch at a straw
You were warned but you wouldn't take heed.


Everything in creation must obey a law.
Its true in words as it is in deed.
You were so puffed up in your pomps and pride
You're exposed you got none to hide


Yes, you used to look down on the folks beside you
Never they think you would have come down too


Remember they said you got to reap what you sow
Simple truth everybody know


Chorus
Oh what are you on a house of exile
Watching you now on your own last mile
Yes, what are you on a house of exile
Watching you now on your own last mile


Oh what are you on a house of exile
Watching you now on your own last mile
O OH what are you on a house of exile
Watching you now on your own last mile


Everything in creation must obey a law.
Its true in words as it is in deed
 
TBC wapo busy na wanyama tu!!!
wanaonyesha ndugu zake yule waziri flani hivi!!
 
Mbona inaeleza mambo ya Wanyama (Gorila)????!!!
au saaa kumi bado haijafika?!!:drama:

mi nashangaa gorilla wa nini wakati huu! au ni kiashiria cha aina fulani, wonders never cease!
 
Wanashindwa namna ya kujiunga, hivi hakuna redio inayotangaza?

arushamambo huwa wanajiunga na TBC1 lakini pia TBC radio wamesema wanatangaza. Nadhani JK anaprint karatasi za kusoma baada ya kufanya mabadiliko tena baada ya kuona mmepatia speculations zenu
 
Last edited by a moderator:
Hamna aliyedharauliwa...watu tumezoea kulalamika sana. Tunataka serikali itufanyie kila kitu, wakati kwa hali ya kawaida haiwezekani!! Hata leo hawa mavuvuzela wa CDM wakiingia madarakani, hawawezi kufanya chochote. Mimi siku zote huwa nahamasisha ufanyaji kazi kwa bidii na kwa nguvu zote. kwa kujituma, kila kitu kinawezekana!!
rejao umesahau hata jk huwa analalamika sana au unataka tukukumbushe maanake umeongea bila utafiti hebu fikiria jk wakati anatembelea mawizara alisema hivi nanukuu ..utakuta waziri anaingia kazini saa 5 asubuhi ansoma gazeti halafu anwasha tv anaangalia pametokea nini misri ..saa saba ikifika aneenda kula harudi mpaka kesho au kwenye halimashaur zetu kuna mchwa...anasema hayo bila kujitambuwa yeye ni nani?
sasa kama mkuu anesema hivyo sisi tusio na madaraka tusemeje au tufanyeje? utaweza kweli kumuondoa mkurugenzi au waziri?
 
Uteuzi huu wa dharura ni ushahidi kuwa, hata baraza limekuwa kama zima moto. Mbona hatangazi tu, au bado anabadilisha majina!

Huenda litakuwa baraza la ovyo kuliko lililopita.
 
wakuu mda wowote channel 5 watajiunga moja kwa moja kutoka ikulu ambapo Rais anahutumia wahariri wa vyombo mbambali vya habari. source channel 5.
 
TBC wanaonyesha nyani akila sisimizi........ Atakayeelewa na aelewe hahaha aha
 
JFM,
Clouds fm punde watajiunga na ikulu kutangaza live tukio la baraza jipya/liliorekebishwa sasa hivi.

Tutegee sikio japo najua wengi hamkipendi hiki kituo kutokana na uzandiki wake!!
 
TBC wapo busy na wanyama tu!!!
wanaonyesha ndugu zake yule waziri flani hivi!!

Ubaya wao badala ya kuonyesha wanyama wa serengeti, mikumi ama ngorongoro wao wako busy na wanyama wa DRC!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom