mbunge mwingine kateuliwa anaitwa Saada Mkuya(hope sijakosea jina) source:TBC1 sasa hivi
Hii inasikika tu Arusha na na Moshi....ni kama redio mbao tu!!
TBC1 watakuwa LIVE kwenye Press Conference ya JK
Baada ya kuitwa kwa wahariri wa vyombo vya habari ikulu, kuna kila dalili kwamba baraza jipya la mawaziri litatangazwa hivi punde. Wale walioko karibu na tv mnaweza kutune on
Mbona kimya Wakuu wakuu muda unaenda au wahariri wanakunywa juice ya ukwaju magogoni aliyepo magogoni online atujuze jamani! presha inashuka nina karibu chupa ya tatu ya kahawa ya moto ili kupandisha presha!
Waziri wa Sheria na Katiba
Kauli yangu iko Applicable katika uteuzi wa leo wa Baraza la Mawaziri na siyo vinginevyo, usinilishe maneno ambayo sijayatamka, huwa ninajuwa ninachokisema.