Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Watu mnajidai hamuipendi CCM, lakini mmeweka kambi hapa kushuhudia mabadiliko yanayofanywa na CCM!!
:clap2: :clap2: :clap2:
Heri mimi sijasema......maana Rais ameshindwa kufanya maamuzi mpaka ameshinikizwa na wabunge mpaka ikabidi kamati kuu ya Chama iingilie kati kufanya haya mabadiliko, hapa naipongeza kweli CCM, na ni aibu kubwa kwa JK na Serikali yake.

Au ndio maana katika uteuzi wake wa Wabunge jana ameona ni afadhali awachukuwe nje ya CCM? maana anaona wote CCM wameoza wakiwemo kina Rejao pamoja na kazi kubwa ya propaganda hapa JF lakini JK ubunge anakwenda kuwazawadia watu ambao si CCM? HIZI NI DHARAU KUPITA KIASI.
 
tumeambiwa tusubiri hadi sa 10 wakuu nona viongozi wakubwa wakiingia na kutoka duu leo ni leo.
watu wenye matusi watemeni tushawazoea hao,wanafkiri wo tuu ndo wa kutoa news.
stay tuned people kila step ntawapa
Tupo pamoja nawe,huyu atakuwa yule mwenye kijani aliyetupa best video ya arumeru
 
Watu mnajidai hamuipendi CCM, lakini mmeweka kambi hapa kushuhudia mabadiliko yanayofanywa na CCM!!
:clap2: :clap2: :clap2:

vipi umesharudisha gari ya bosi wako .... teh teh teh
 
Toa ujinga wako hapa, Baraza linatangazwa saa 10 jioni na JF imetuma mwakilishi rasmi wa kutupa LIVE coverage.

MATOLA MBONA HIVYO TENA kwa nini unakuwa na akili ya kuvunja yai kwa kutumia nyundo ndugu yangu? Kwani kosa lake nini hadi umwite mjinga?
 
Tunashuhudia uozo wao ili tupate cha kusema! Coz hatutegemee chochote kipya kutoka kwa JK na maswahiba wake
 
Muundo wa wizara bado uko vilevile hakuna mpinzani ndani wala CUF.
Ngeleja Bado aula.
Magufuli bado na kawizara kake
 
Juice ya ikulu taamu hiyo.Mimi nitawapa update ya vinywaji.
 
baraza jipy kwani lile lilivunjwa....................haya ni mabadiliko madogokwenye baraza la mawaziri.vinginevyo mabaraza yatakuwa yamepandiana.....................
 
Hivi baraza lililopo lilishavunjwa? au Rais atavunja na kuunda jingine hapohapo?
 
Uteuzi wa Baraza jipya hauji na jipya zaidi ya mpasuko wa Chama Kikuu cha upinzani....tuna dkk chache kuanza safari ya malumbano na chama Tawala kupata auheni
Akili yako inakutuma kwamba Zitto Kabwe atateuliwa kuwa Waziri? Think Big my friend, Zitto Kabwe siyo cheap that much.
 
Toa ujinga wako hapa, Baraza linatangazwa saa 10 jioni na JF imetuma mwakilishi rasmi wa kutupa LIVE coverage.
Kwahiyo kama jamii imetuma mwakilishi inamaana memba yeyote aliyeko ikulu saa hizi haruhusiwi kusema? Na je kwakuwa umeambiwa ni saa kumi jioni ulitarajia wafike ikulu muda gani? Acha ujinga Matola hii ndio inayoitwa coverage.. unapokea taarifa kutoka sehemu tofauti halafu unazichambua..
 
Tutulie sasa siyo kila mtu kapaa tetesi fulani sijui nani anatupia uzi. Zipo nyuzi ngingi sana za dizani hii.

Tuwe wapole maripota wetu toka Ikulu wataweka mbivu na mbichi muda si mrefu.
 
GRIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII:angry:
 
tumeambiwa tusubiri hadi sa 10 wakuu nona viongozi wakubwa wakiingia na kutoka duu leo ni leo.watu wenye matusi watemeni tushawazoea hao,wanafkiri wo tuu ndo wa kutoa news.stay tuned people kila step ntawapa
siyo hivyo wanadhani wao ni bora kuliko wengine, kumbe ndo wanatuharibia kwa kuifanya jf uwanja wa matusi. endelea kutujuza
 
Toa ujinga wako hapa, Baraza linatangazwa saa 10 jioni na JF imetuma mwakilishi rasmi wa kutupa LIVE coverage.

Mkuu,unaheshimika sana lakini cku hizi majibu yako yamekuwa kama yameandikwa na Lusinde,au unatumia computer/simu ya Lusinde nini?!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom