Zion Daughter
JF-Expert Member
- Jul 9, 2009
- 8,920
- 4,244
Siku ukinifahamu utachanganyikiwa..... Tunavunja upinzani taratibu, shuhudia maajabu mengine baada ya muda mfupi!!
By 2015 no upinzani!!
Unapoteza wakati......Hata ukiwa nani na una hila gani au pesa gani, sauti ya watu/wanyonge lazima ishinde siku moja.Ukombozi wa nchi hii lazima utimie kwa nguvu za Mungu....
So jiandae kutubu kwa madhambi unayowafanyia watanzania kwa kudidimiza haki