Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Mwigulu ile movable bank ya C.C.M au mwingine kama akipewa uwaziri tumeisha!
 
Sitarajii cha maana sana kwenye huo uteuzi mpya maana ni sawa tu na wezi kubadilishana nafasi, wazoefu wanatoka wanaingia trainees.
 
ndo nimeiingia hapa Ikulu, tumepokelewa kwa mbwembwe napiga maji yangu, tumeambiwa tuvute subira kutangaziwa baraza jipya. Namuona Mizengo na tabasamu la mbali amepita hapa
stay tuned
 
Bora awe amewaita na akaongee cha maana kitakachowafurahisha wananchi, tena akisimamie. Km ni baraza la mawaziri basi liwe strong na lenye maslahi kwa wananchi, na km ni hatua za kuwawajibisha wabadhilifu basi amaanishe atakachesema.

Lakini kama atakuja na zile zile bla bla zake. We will be dissapointed.
 
dua la kuku?

Well, msishangae hata asiongelee issue ya baraza la mawaziri kabisa. Si wahariri waliomba kuonana naye? Anaweza kuwambia 'naam, nawasikiliza...'

hapo litawashuka ha ha ha

inatakiwa lisiwashuke_badala yake liwapande kwa kumtwanga maswali magumu.
 
Hivi Mwigulu kaenda hapo Ikulu na sare za CCM kikazi? Au naye ni Waziri mtarajiwa?

Muda umesogezwa; si saa 9 tena bali saa 10!



kila mtu anamshangaa tu hapa ameuwa kama juha hivi...
 
JK bwana ...yaani ni full vichekesho au kapoteza flash yenye list ya mawaziri
 
Toa ujinga wako hapa, Baraza linatangazwa saa 10 jioni na JF imetuma mwakilishi rasmi wa kutupa LIVE coverage.
 
Still waiting_ingawa for sure hakuna jipya ninalotegea.
 
Dua la kuku?

Well, msishangae hata asiongelee issue ya Baraza la Mawaziri kabisa. Si wahariri waliomba kuonana naye? Anaweza kuwambia 'Naam, nawasikiliza...'

Hapo litawashuka ha ha ha

Unaweza ukawa unatabiri ukweli! I can imagine, vikohozi vingi vitatokea ili kutafuta hoja ...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom