Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Ni baraza jipya kweli? Rais ni yuleyule; Makamu ni yuleyule WM ni yuleyule; wizara karibu zote nyeti mawaziri ni walewale; utendaji na maamuzi yatakuwa yaleyale!
 
Toa ujinga wako hapa, Baraza linatangazwa saa 10 jioni na JF imetuma mwakilishi rasmi wa kutupa LIVE coverage.

Mkuu,unaheshimika sana lakini cku hizi majibu yako yamekuwa kama yameandikwa na Lusinde,au unatumia computer/simu ya Lusinde nini?!!!
 
Sawa,tunasubiri kwa hamu kubwa.
ndo nimeiingia hapa Ikulu, tumepokelewa kwa mbwembwe napiga maji yangu, tumeambiwa tuvute subira kutangaziwa baraza jipya. Namuona Mizengo na tabasamu la mbali amepita hapa
stay tuned
 
Toa ujinga wako hapa, Baraza linatangazwa saa 10 jioni na JF imetuma mwakilishi rasmi wa kutupa LIVE coverage.
mkuu vipi tena ?? kwani akileta taarifa mtu mwingine zaidi ya huyoo mwakilishi wako ni tatizo, wacha jamaa watuhabarishe, triangulation ni njia sahihi ya kupata habari za uhakika, wacha jamaa watupe news
 
Karatasi alilochapisha majina halioni
Ameanza kuandika kwa penseli kwenye daftari la mistari midogo na mikubwa.

JK bwana ...yaani ni full vichekesho au kapoteza flash yenye list ya mawaziri
 
Hivi Mwigulu kaenda hapo Ikulu na sare za CCM kikazi? Au naye ni Waziri mtarajiwa?

Muda umesogezwa; si saa 9 tena bali saa 10!

Mwigulu tangia apate madaraka kwenye secretariat ya Chama vazi lake Rasmi ni kijani na skafu ya bendera ya Taifa.
 
Acha kudanganya watu. Kama muda ni saa kumi nani atakuruhusu uingie muda huu ?
 
Watu mnajidai hamuipendi CCM, lakini mmeweka kambi hapa kushuhudia mabadiliko yanayofanywa na CCM!!
:clap2: :clap2: :clap2:

Sio mabadiriko ni uozo tu nani anaikubali CCM na wewe?
 
Tunasubiri kwa hofu sio kwa hamu manaake we dont know kitu gani kitajili, tujurishe mkuu
 
kwanini tusibakie single as a country yaani hakuna raisi wala mawaziri kila mtu aishi maisha yake then 2015 tufikierie kama tuendelee kuwa single au tutafute rais
 
Haya mawaziri wenyewe ndio hawa:


J.J. Mbatia- waziri ofisi ya raisi mahusiano na uraibu
A.L. Mrema - waziri mambo ya ndani
Cheyo- waziri tawala za mikoa
etc
 
Tunataka kushuhudia upuuzi wake ili tukajiongezee mtaji wa kuhubiri ukombozi wa fikra.

Rejao una kimavi
Watu mnajidai hamuipendi CCM, lakini mmeweka kambi hapa kushuhudia mabadiliko yanayofanywa na CCM!!
:clap2: :clap2: :clap2:
 
Uteuzi wa Baraza jipya hauji na jipya zaidi ya mpasuko wa Chama Kikuu cha upinzani....tuna dkk chache kuanza safari ya malumbano na chama Tawala kupata auheni
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom