Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
toa ujinga wako hapa, baraza linatangazwa saa 10 jioni na jf imetuma mwakilishi rasmi wa kutupa live coverage.

mkuu matola punguza hasira mkuu...hata wakiwa weni wa kutujuza sio mbaya kiongozi.
 
Kudadadadeki.......kumbe kawaita kuwapongeza kwa kazi nzuri ya kudumisha amani na kuimalisha muungano wetu.......so msipoteze muda kusubili atangaze baraza la mawaziri.
Ngoja mie niende zangu taifa kuwacheki lambalamba na mtibwa.
 
PM hachaguliwi kwa style hiyo, anachaguliwa na rais then anapigiwa kura na wabunge halafu ndio wanakaa na rais kuunda cabinet!!!
 
ndo nimeiingia hapa Ikulu, tumepokelewa kwa mbwembwe napiga maji yangu, tumeambiwa tuvute subira kutangaziwa baraza jipya. Namuona Mizengo na tabasamu la mbali amepita hapa
stay tuned

Leta habari mkuu.
 
litakapo tangazwa hilo baraza , wadau tujaribu kuangalia uadilifu wa waziri husika badala ya yale mambo tunayoyapenda sana ya dini...!
 
ngoja tusubiri tuone,hakuna tv inayoonyesha live jamani?
 
Dua la kuku?

Well, msishangae hata asiongelee issue ya Baraza la Mawaziri kabisa. Si wahariri waliomba kuonana naye? Anaweza kuwambia 'Naam, nawasikiliza...'

Hapo litawashuka ha ha ha

Kumbe kikao kiliombwa na wahariri?

sasa hapa mbona tunajadili issue ya mawaziri tena?
 
Tunasubiri kwa hofu sio kwa hamu manaake we dont know kitu gani kitajili, tujurishe mkuu
 
Toa ujinga wako hapa, Baraza linatangazwa saa 10 jioni na JF imetuma mwakilishi rasmi wa kutupa LIVE coverage.


Ni vita ya kung'ang'ania uzi nini? Ujinga uko wapi kama wote mpo Ikulu mnakunywa juice wakati mkisubiri mkuli atangaze?
 
Toa ujinga wako hapa, Baraza linatangazwa saa 10 jioni na JF imetuma mwakilishi rasmi wa kutupa LIVE coverage.

Haipendezi ulivyomjibu mwenzako! Hivi kafanya kosa gani mpaka umwambie atoe ujinga wake! Mungu hapendi hivyo. Usichopenda kutendewa usimtendee mwenzako!!
 
Watu mnajidai hamuipendi CCM, lakini mmeweka kambi hapa kushuhudia mabadiliko yanayofanywa na CCM!!
:clap2: :clap2: :clap2:
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom