Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Ni kweli, tumetuma mwakilishi

kama ni wewe mkuu sawa, maana humu jamvini kumeibuka watu wa ajabu ajabu na thread za ajabu ajabu, ok uliyemtuma atupatie update na tuwe na thread moja tufatilie kwa pamoja
 
baraza la mawaziri haliwezi kuvunjwa, ila ni kupangua na kupanga waliopo, kuacha wale wazembe wanaotuhumiwa na kuteua baadhi wapya.
 
Kwa hali ilivyo Pinda lazima yupo tu. Kama Pinda hayupo basi leo si siku ya kutangaza baraza hilo kwani nadhani kama PM anapigwa chini, anaambiwa yeye kwanza, Bunge linaitwa na kupitisha jina la MP mpya alafu Rais anakaa na PM mpya kupnaga baraza la mawaziri.

Nasikia kuna kipindi alipelekwa mtoni kurekebisha reception mbona namuona hivyohivyo nasikia hela kibao zimetumika
 
For those who don’t believe this, just try to ask any member of media house, cause it’s Confirmed.

ha ha ha ha ha this is waaay to funny eti tuachieni mifupa yetu ha ha ha yakhe kweli kutakua hakuna kitu
:boxing::A S 20:
 
Benard Membe Waziri wa Mambo ya Nje ya Ushirikiano wa Kimataifa. Note that..
 
[h=6]Wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo wameitwa kuwepo Ikulu Magogoni ifikapo saa 9:00 alasiri,tukio ambalo linatafsiriwa kuwa huenda ni kutangazwa kwa baraza jipya la mawaziri.[/h]
Hakuna baraza jipya! Ni wale wale plus wale wale!
 
Waziri Nchimbi amesema jana kwamba kikwete alikuwa busy anakamilisha :first eleven" yake.

Kwa jinsi navyomfahamu kikwete, tutarajie "first eleven" kama ya Arsenal(samahani kwa wanazi wa arsenal, lakini huu ndio mtazamo wangu).

Timu haichukui vikombe lakini wamiliki/wanahisa wa klabu wanapata faida kubwa kila mwaka!! Hii ni sawa na hapa kwetu maendeleo kwa wananchi hayaonekani lakini vigogo wa serikali(first eleven) wanaatamia mabilioni ya fedha kwenye akaunti zao huku wakinunua hisa katika makampuni mbalimbali na kujenga majumba ya kifahari mahali mahali.
 
Atakuwa Waiziri asiyekuwa na Wizara maalum na mchonganishi na mfitini wa kuivuruga kambi ya Upinzani hasa Bungeni.
Kawe sasa itakuwa na Wabunge zaidi ya wawili. Yupo Mdee wa Jimbo, Rita Mlaki wa viti Maalum, Mbatia wa Ikulu,..., tuendelee tu kuigharamia SIASA.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom