VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,140
- 18,007
Umeingilia mlango upi nisikuone?
Lakini Mkuu, mbona ni kama kauli ya Halima kuhusu .....manunuzi imethibitishwa beyond any reasonable doubt. yaani kweli katika waTz wote kamuona Mbatia? hivi hizo nafasi anajiteulia tu, au kuna mwongozo? ......Kweli tunahitaji katiba mpya!Acha kashfa wewe isingeuwa busara za Mbatia saivi halima mdee angekuwa anafanya kazi ya u-house girl nyimbani kwake
Watu mnajidai hamuipendi CCM, lakini mmeweka kambi hapa kushuhudia mabadiliko yanayofanywa na CCM!!
:clap2: :clap2: :clap2:
Toa ujinga wako hapa, Baraza linatangazwa saa 10 jioni na JF imetuma mwakilishi rasmi wa kutupa LIVE coverage.

Subiri mpigane sound hapa mpaka kufikia saa 10 hii thread iko page ya 30 na JK hajaanza hata kuongea ndio mtajuwa nilikuwa nilikuwa namaniisha nini!!Sasa unahamaki kitu gani?labda yeye ndo mwakilishi aliyetumwa?angalia usije vunja screen yako ya laptop
hapa tamil sri lanka ni live baba kupitia kundus tv!ngoja tusubiri tuone,hakuna tv inayoonyesha live jamani?
Toa ujinga wako hapa, Baraza linatangazwa saa 10 jioni na JF imetuma mwakilishi rasmi wa kutupa LIVE coverage.
Serikali inaongozwa na Chama Cha Mapinduzi....Period! kama hutaki kajinyonge!Hivi hicho kichwa kimejaa usaha au??
Hivi lini fikra za chama kushika hatamu zitaisha kwenye mavichwa yenu makubwa hivyo??
Lini mtatofautisha kati ya shughuli za chama na serikali??
Watu mnajidai hamuipendi CCM, lakini mmeweka kambi hapa kushuhudia mabadiliko yanayofanywa na CCM!!
:clap2: :clap2: :clap2:
wajuaje kama huo ndie mwakilishi wa JF?
Ambaye ni mimi.......mwambie afunge domo lake lol!Toa ujinga wako hapa, Baraza linatangazwa saa 10 jioni na JF imetuma mwakilishi rasmi wa kutupa LIVE coverage.
hahaahah...sasa kwenye hii thread unafanya nini kama unawafahamu wanaokuja ni wezi??Nyambafu!ccm kitu gani,kipi jipya watatuletea zaidi ya wezi wengine!wote majizi tu mpaka kule magogon