Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Hivi Mwigulu kaenda hapo Ikulu na sare za CCM kikazi? Au naye ni Waziri mtarajiwa?

Muda umesogezwa; si saa 9 tena bali saa 10!
 
Jana nimepita home, nikamkuta Dingi ameandaa sherehe. Sasa sijui na yeye ameteuliwa kuwa Waziri.
Nilipombana sana akaniambia nimepigiwa simu lakini usimwambie mtu.!!!

Sasa mbona umetuambia? Duh wewe mpaka Baba yako umemkana
 
Muda wote wakuu tumekuwa tukisisitiza habari nyeti kama hizi muwe mnaweka source,nini chanzo cha habari yako mkuu isije ikawa unasema saa kumi atatanganza baraza la Mawaziri akaja tangaza jumatano week ijayo!
We unataka source ili iweje acha unazi!
 
Pinda hawezi kutolewa uPM maana kitendo hicho kina tafsiri ya kuanguka kwa serikali. JK hatakubali serikali yake kuanguka mara mbili!!
 
Ingekuwa furaha kubwa kama wahariri wanaenda kupokea taarifa ya kujiuzulu rais wa Tz ndugu JK,
 
Hivi Mwigulu kaenda hapo Ikulu na sare za CCM kikazi? Au naye ni Waziri mtarajiwa?

Muda umesogezwa; si saa 9 tena bali saa 10!

Amepeleka report ya matumizi ya chaguzi za Igunga na Arumeru maana alikuwa hajapeleka kwa mwenyekiti.
 
Hivi Mwigulu kaenda hapo Ikulu na sare za CCM kikazi? Au naye ni Waziri mtarajiwa?

Muda umesogezwa; si saa 9 tena bali saa 10!
Mwiguluu atakua alitonywa kabla kwamba leo atapata chochote...dah! Huyu jk anavyosogeza muda ina maana hakujipanga.?
 
Atakuwa Waiziri asiyekuwa na Wizara maalum na mchonganishi na mfitini wa kuivuruga kambi ya Upinzani hasa Bungeni.

Acha kashfa wewe isingeuwa busara za Mbatia saivi halima mdee angekuwa anafanya kazi ya u-house girl nyimbani kwake
 
Ni kweli, tumetuma mwakilishi

Ila mwakilishi asikubali kunywa juice au maji ya mle ndani....!
Wote tunawajua mumiani hawachagui pa kutekeleza umumiani wao...wanaijua JF, na woga wao hapa ni kuliko hata mhariri wa gazeti lolote lile hapa Tz!! "Tusimpoteze hata mmoja wa wapambanaji wetu hawa"
 
Mwigulu akupewa wizara ya jinsia wanawake na watoto tumekwisha!
Hivi Mwigulu kaenda hapo Ikulu na sare za CCM kikazi? Au naye ni Waziri mtarajiwa?

Muda umesogezwa; si saa 9 tena bali saa 10!
 
hivi baraza jipya linatangazwa kabla ya kuvunjwa la awali? Kimsingi wala silihitaji hilo baraza, ni ufujaji tu wa rasilimali za nchi

Baraza halivunjwi bali ni mabadiliko tu. PM ni yule yule Kayanza
 
Acha kashfa wewe isingeuwa busara za Mbatia saivi halima mdee angekuwa anafanya kazi ya u-house girl nyimbani kwake
Vibaraka sasa mmeamuwa kujionesha kwa rangi zenu halisi na ni lazima utakuwa mchaga wewe mkabila mkubwa.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom