Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Rais Kikwete apangua Baraza la Mawaziri

Status
Not open for further replies.
Mapenzi yako kwa JF yasikufanye kuwa kipofu

Mkuu Tume ya katiba niambie kwa mfano jana ni chombo gani kilikuwa cha kwanza kutangaza ile taarifa ya ikulu kuhusu kuteuliwa kwa wale wabunge 3?

Labda neno kutangaza linnakusumbua kidogo, ningesema kuchapisha au?
 
Last edited by a moderator:
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: contentheading"]Wahariri waitwa Ikulu[/TD]
[TD="class: buttonheading, width: 100%, align: right"] Send to a friend[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
[TABLE="class: contentpaneopen"]
[TR]
[TD="class: createdate"]Friday, 04 May 2012 12:54[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]
0digg
​
0000001ikulu.jpg
Wahariri wa vyombo vya habari jijini Dar es Salaam leo wameitwa kuwepo Ikulu Magogoni ifikapo saa 9:00 alasiri,tukio ambalo linatafsiriwa kuwa huenda ni kutangazwa kwa baraza jipya la mawaziri.

Kwa habari zaidi ungana nasi baadaye[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
subirini ifike hiyo saa tisa muone kila mtu atakavokimbilia kupost hapa majina ya mawaziri! wwengine hata si wabunge na kila pumba utaziona hapa just wait and see!cjui kwa nini JF imebadilika home of porojos badala ya home of great thinkers??
 
Mwanaume alikuwa mzee wa Ruksa aliyeita mawaziri na baada ya dakika chache wakajikuta hawana kazi ndipo wengine walipokimbizwa ICU. Huyu JK analiogopa Baraza la mawaziri alilochagua mwenyewe!!!!
 
Wameitwa wakahimizwe kuwashauri Waheshimiwa wabunge wakusanye saini mia za kukataa Umaskini
 
Nimekutana na misafara yao maeneo ya Aga Khan wanakimbilia Ikulu huku Ambulance zikifuata ila sijaelewa kwanini kumekuwa na Ambulance, je mwawezanifahamisha kazi ya ambulance kwene kutangaza baraza??
 
tuko pamoja kupata mambo ya ikulu toka kwa wahaririiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
President Kikwete will address senior editors at 4 post meridian according to selemani semunyu ITV
 
Inasemekana Mheshimiwa Mizengo Kayanza Peter Pinda (MB) ataendelea kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Source --- Mwananchi online

Mkuu kwa kuangalia na kujirejesha kwenye Katiba ya JMT kama Rais anatangaza baraza la mawaziri leo au hata kesho basi Waziri Mkuu ni Mizengo Pinda kwa kuwa haiwezekani kumtangaza waziri mkuu mpya bila kupitishwa na Bunge na hakuna uwezekano wa Bunge kuketi leo au hata kesho.
 
cna iman na mawaziri wapya nahic mambo yatakuwa yaleyale tu.
 
Tuwe wavumilivu, saa 9 sio mbali... Afu tukumbuke next wik JK atakuwa D.C, kwa hiyo ili swala lazima alimalize ASAP...
 
taarifa ya Ikulu inathibitisha kuitwa kwa waandishi wa habari saa 9 na shughuli yenyewe ni saa kumi coz of protocal
 
Vipi imekuaje asiwaite na wale anaowaitaga wazee wa Darisalama anapokua na jambo lazima akutane nao?

Wazee wa DSM anawaitaga pindi anapotaka kuongea mipasho...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom