Rais Kikwete anaipenda CHADEMA!

Rais Kikwete anaipenda CHADEMA!

Usicheze na mfumo
kubadilika, vichochoro na viupenyo vyote vya kuuza yale makitu ya tembo
huzibwa. Hapo kutakuwa na maisha kwa watu kama akina Kinana?

kinana anawanyima sana usingizi na ndo maana siku haipiti bila kumtaja
 
Raisi wa watanzania na anafanya ayafanyayo kwa ajili ya watanzania.
 
JK alisoma alama za nyakati angekutwa na zomea zomea na kupopolewa kama mbeya
 
sasa rais kama kiongozi wa nchi ulitegemea afanye nn? kuambatana ma wabunge wa cdm cyo dhambi au mnawatamani wana ccm? hamtaisahau ccm kwa mazuri yake
 
Umesoma shule kweli wewe? Kuandamana ni zao la demokrasia. Usiwe na ubongo wa bata
wewe uli soma unashindwa kung'amua hata linalo onekana,ukiamini siasa ni ugomvi kaa hivyo hivyo..simpaka miungu wenu wenu Slaa,Mbowe,Lema waseme ndio muamini
 
Tatizo la chadema ni uharamia wao kulisha watu sumu, kuwamwagia tindikali na kupiga askari na hata kuharibu maki za bunge

Ingefaa ungeweka na ushahidi. Usiwe kama Nape na Mwigulu, ambao wanatoa shutuma zisizo na ushahidi.
Mwigulu aliumbuka vibaya sana kwenye 'swaga' zake za 'ugaidi', Unakumbuka ??
Ngoja nikufundishe jinsi ya kuweka ushahidi kwenye hoja..

Angalia hapa chini...

Polisi Tanzania waua mwandishi asiye na hatia huko Iringa...

Iringa.jpg
 
ivi chadema kumbe mnatambua kikwete ndo rais
mlimkubali lini?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom