Rais Kikwete anaipenda CHADEMA!

Rais Kikwete anaipenda CHADEMA!

wazalendo siku zote husoma upepo unavyovuma na wao wanaelekea huko,kikwete ni muungwana sana na hana siasa za chuki na maji taka kama wanasiasa wengine
 
Huyu ni rais na anapaswa kuwatambua viongozi Wa vyama vyote hasa anapokuwa majomboni mwao.
 
Nimehamia siasani kidogo
Nataka nione vijana wanavyojisahau walikotoka.

Mie kwangu ni cc
hapo mmu napita mara moja moja tu.
....basi sawaa...mi huku ni nyumbani sema mada zake zikinichangavya naenda mmu kupunguza stress
 
Nimekuwa kwenye msafara wa ziara ya mh.rais kanda ya ziwa,ziara ambaya imemalizika jana na leo rais anarejea jijini dar.
Katika ziara hiyo tumeshuhudia mambo mengi yaliyofanywa na rais lkn mimi nimeibuka na moja kuwa RAIS WETU KIKWETE anaipenda Chadema.Dalili zipo nyingi nitataja chache🙁1) Mkuu wa mkoa Ndikiro alimnyima Wenje(CDM) nafasi ya kuwasalimia wananchi wake wa nyamagana lkn JK alimsimamisha naye Wenje akiwa jukwaa kuu alisalimia waliokuwepo kwa salaam ya makamanda nao wakajb(na jk akiwemo)poweeeeer...(2)JK alitumia muda mwingi kuwasifu HIGHNESS na WENJE (wote wa CDM)kwa jitihada zao kuwaletea maendeleo wapiga kura wao.Kwa sbb hizo na nyinginezo nyingi nashawishika kuamini JK YUPO CCM KIMWILI lkn ROHO YAKE IPO CHADEMA.Wapi Ritz,Zemacopolo,Lizaboni na buk 7 wote? njoo huku haraka nafasi zimebaki chache.

HIvi hujui alivyojifunza the harder ways Arusha...anajua akijisahau tuu raia wanamtoa nishai..bora jibainishe na na marais wa hayo majimbo....Lema huwa anatumia busara anaweza funika Rais na mawaziri wake wote jukwaani....
 
Huyu ni rais na anapaswa kuwatambua viongozi Wa vyama vyote hasa anapokuwa majomboni mwao.

Anawatambua sana hasa ktk majiji.....ungemwambia na Lema yupo jukwaani anagmtambulisha huku akicheka..kwa vile keshasikia ushauri kuwa akiwadhalilisha anazomewa mbaya, na hawa wabunge wakisimama na kuondoka na raia wote wansepa km vile mikutano ya CCM ikiwa na ze komedi wakimaliza show watu wanasepa.
 
Ingefaa ungeweka na ushahidi. Usiwe kama Nape na Mwigulu, ambao wanatoa shutuma zisizo na ushahidi.
Mwigulu aliumbuka vibaya sana kwenye 'swaga' zake za 'ugaidi', Unakumbuka ??
Ngoja nikufundishe jinsi ya kuweka ushahidi kwenye hoja..

Angalia hapa chini...

Polisi Tanzania waua mwandishi asiye na hatia huko Iringa...

Iringa.jpg

Madhara ya kuwapa polisi bangi kabla ya kazi...
 
Jk anayakumbuka yaliyo mpata Mbeya,kwani Gari lake lilipigwa Mawe kule
 
alichokifanya JK ni mambo ya ki protocal nasiyo kuipenda CHADEMA pia sioni kama anasababu ya kuichukia chadema kwani yeye ni raisi wa Tanzania na chadema ikiwemo humo humo Tanzania kwahyo hapo tunaweza kusema Jk anipenda Tanzania
 
Kweli Chadema ni kama maji usipo yaoga basi utayanywa. Huwezi kufanya jambo ukakubalika nchi hii bila kuihusisha Chadema.
 
Hakuna lolote, JK ni kinyonga maana uyo mkuu wa mkoa asingeanza kumwacha wenje hivi2 ila ni chuki ambayo aliitengneza na hawa waliounga mkono chuki hiyo wanazd kuyumbshwa. kwaiyo mkuu wa mkoa alitimiza maagzo ila jk baada ya kuona hali c nzur ikambd avunje utaratb wao wa siri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom