mwene original
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 248
- 48
Kikwete anakili na busara sio akina mwigulu anajua maana ya demokrasia na maana ya mfumo wa vyama vingi
Jk ni pragmatic; anajua wanacdm wana agenda ya maendeleo ya wananchi na wanaccm wana agenda ya maendeleo yao binafsi. kama rais mzuri yuko tayari kufanya kazi na cdm kwa roho nyeupe.Nimekuwa kwenye msafara wa ziara ya mh.rais kanda ya ziwa,ziara ambaya imemalizika jana na leo rais anarejea jijini dar.
Katika ziara hiyo tumeshuhudia mambo mengi yaliyofanywa na rais lkn mimi nimeibuka na moja kuwa RAIS WETU KIKWETE anaipenda Chadema.Dalili zipo nyingi nitataja chache🙁1) Mkuu wa mkoa Ndikiro alimnyima Wenje(CDM) nafasi ya kuwasalimia wananchi wake wa nyamagana lkn JK alimsimamisha naye Wenje akiwa jukwaa kuu alisalimia waliokuwepo kwa salaam ya makamanda nao wakajb(na jk akiwemo)poweeeeer...(2)JK alitumia muda mwingi kuwasifu HIGHNESS na WENJE (wote wa CDM)kwa jitihada zao kuwaletea maendeleo wapiga kura wao.Kwa sbb hizo na nyinginezo nyingi nashawishika kuamini JK YUPO CCM KIMWILI lkn ROHO YAKE IPO CHADEMA.Wapi Ritz,Zemacopolo,Lizaboni na buk 7 wote? njoo huku haraka nafasi zimebaki chache.
Jk siyo kama SLAA, na wala wananchi hawawezi kuthubutu kumzomea
Tatizo la chadema ni uharamia wao kulisha watu sumu, kuwamwagia tindikali na kupiga askari na hata kuharibu maki za bunge
Ritz Lizabon ze marcopolo wako bize leo kwenye kikao kujadili namna mpya ya kusafirisha sembe kwani vijana wao wanakamatwa kila kona ya dunia sasa.
Hilo halina ubishi. Mimi siyo shabiki wa JK wala CCM lakini kwenye uungwana,nakubali kwa 100%. Na siyo uungwana tu bali hata hekima pia, na ndiyo maana atamaliza kipindi chake bila rabsha kubwa. Anapigana vita ngumu, anapigwa vita na madikteta ndani ya CCM, na huku nje anasakamwa na wapinzani na baadhi ya wananchi pia. Muda mwingi badala ya kuwaza juu ya maendeleo ya nchi kwanza inabidi utumie muda wake kuvishinda vita vya ndani ya chama.
Ikiwa hivyo basi Chadema itakosa mvuto. Jamani anatafuta pa kudondokea huyo baada ya kuona CCM mambo si shwari tena. CDM haiwezi kuwa na watu wa design ya KikweteNimekuwa kwenye msafara wa ziara ya mh.rais kanda ya ziwa,ziara ambaya imemalizika jana na leo rais anarejea jijini dar.
Katika ziara hiyo tumeshuhudia mambo mengi yaliyofanywa na rais lkn mimi nimeibuka na moja kuwa RAIS WETU KIKWETE anaipenda Chadema.Dalili zipo nyingi nitataja chache🙁1) Mkuu wa mkoa Ndikiro alimnyima Wenje(CDM) nafasi ya kuwasalimia wananchi wake wa nyamagana lkn JK alimsimamisha naye Wenje akiwa jukwaa kuu alisalimia waliokuwepo kwa salaam ya makamanda nao wakajb(na jk akiwemo)poweeeeer...(2)JK alitumia muda mwingi kuwasifu HIGHNESS na WENJE (wote wa CDM)kwa jitihada zao kuwaletea maendeleo wapiga kura wao.Kwa sbb hizo na nyinginezo nyingi nashawishika kuamini JK YUPO CCM KIMWILI lkn ROHO YAKE IPO CHADEMA.Wapi Ritz,Zemacopolo,Lizaboni na buk 7 wote? njoo huku haraka nafasi zimebaki chache.
Khaa!! hakuna atakaye mzomea kwa sababu hajafanya kitu kwao na hawamdai kitu. WanaCDM tu ndiyo wenye haki ya kumzomea kwa sababu ana mamlaka juu yao :whistle:Ulishasikia Dr Slaa kazomewa?????
JK ni rais wa tanzania na alifanya ziara mwanza akiwa rais na sio mwenyekiti wa CCM. Hivyo basi akiwa rais, yeye ni wa wote hivyo alichokifanya Mwanza sio kuwa anaipenda Chadema bali anaikubali siasa ya vyama vingi na kuwa hata kule ambako inatawala chadema pia ni kwake kama Rais.
Khaa!! hakuna atakaye mzomea kwa sababu hajafanya kitu kwao na hawamdai kitu. WanaCDM tu ndiyo wenye haki ya kumzomea kwa sababu ana mamlaka juu yao :whistle:
kikwete ni mchapakazi sana, sema uungwana wake ndio unaotafsiriwa na baadhi ya watu kama ni udhaifu