Rais Kikwete anaipenda CHADEMA!

Rais Kikwete anaipenda CHADEMA!

Nimekuwa kwenye msafara wa ziara ya mh.rais kanda ya ziwa,ziara ambaya imemalizika jana na leo rais anarejea jijini dar.
Katika ziara hiyo tumeshuhudia mambo mengi yaliyofanywa na rais lkn mimi nimeibuka na moja kuwa RAIS WETU KIKWETE anaipenda Chadema.Dalili zipo nyingi nitataja chache🙁1) Mkuu wa mkoa Ndikiro alimnyima Wenje(CDM) nafasi ya kuwasalimia wananchi wake wa nyamagana lkn JK alimsimamisha naye Wenje akiwa jukwaa kuu alisalimia waliokuwepo kwa salaam ya makamanda nao wakajb(na jk akiwemo)poweeeeer...(2)JK alitumia muda mwingi kuwasifu HIGHNESS na WENJE (wote wa CDM)kwa jitihada zao kuwaletea maendeleo wapiga kura wao.Kwa sbb hizo na nyinginezo nyingi nashawishika kuamini JK YUPO CCM KIMWILI lkn ROHO YAKE IPO CHADEMA.Wapi Ritz,Zemacopolo,Lizaboni na buk 7 wote? njoo huku haraka nafasi zimebaki chache.
ongea pole pole mkuu wasije wakamwita kwenye kikao cha dharura cha kamati kuu kujieleza.
 
Rais wa Tanzania siyo rais wa CCM , wewe mbona kila siku unazidi kuwa mshamba?

alfu ajui demokrasia,ningefurahi sana kama CDM ingewafundisha wafuasi waje demokrasia kwanza kabla ya kuwafundisha kuandamana
 
alfu ajui demokrasia,ningefurahi sana kama CDM ingewafundisha wafuasi waje demokrasia kwanza kabla ya kuwafundisha kuandamana

Umesoma shule kweli wewe? Kuandamana ni zao la demokrasia. Usiwe na ubongo wa bata
 
Mziki wa Chadema unamnyima usingizi JANGILI Kinana

Usicheze na mfumo kubadilika, vichochoro na viupenyo vyote vya kuuza yale makitu ya tembo huzibwa. Hapo kutakuwa na maisha kwa watu kama akina Kinana?
 
Jk ni mlezi wa vyama vyote
vya siasa ndio mana hata kipindi kile aliwakaribisha akina slaa, mbowe
na genge lake walipoomba kwenda kunywa juice ikulu

mkuu, jk ni wa kupongezwa na cdm waone fahari ya kuwa na Rais huyu muungwana. wenje kwa muda mrefu hajawahi kutoa salamu mbele ya halaiki kubwa ya watu. maana kila akiitisha mikutano, watu wanakuwa kiduchu na wengi wao ni mazezeta. hivyo alishangaa sana kupata nafasi hiyo na ndo chanzo cha uzi huu
 
kama wasingekuwepo wabunge wa CHADEMA kwenye huo mkutano, mahudhurio yangedoda sana, hata vipaza sauti kabla ya mkutano waliwatangazia watu kuwa Mh. Rais atakuwepo, na makamanda wa chadema watakuwepo,
 
Jk siyo kama SLAA, na wala wananchi hawawezi kuthubutu kumzomea

Wananchi wana mbinu nyingi za kumzomea mtu.
JK alizomewa kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2010.
Angalia..
Mwaka 2005 JK alipata ushindi 81%.
Mwaka 2010 JK alipata 'ushindi' 60% tu (pamoja na kuiba kura sana) !!!!
Hilo anguko ndio kuzomewa kwenyewe..!!!
Upo hapo !!!!
Copy: Ritz
 
Last edited by a moderator:
Tatizo la chadema ni uharamia wao kulisha watu sumu, kuwamwagia tindikali na kupiga askari na hata kuharibu maki za bunge

hyo single ilisha chuja we pimbi njo na nyingne chadema kina kirefu lazma mtazama tu.
 
Mkuu nimepita mitaa ya Lumumba nimewaona wako kwenye foleni naona walikuwa wanakinga ila walikuwa wanapiga makelele sana! inaonekana project inasuasua na walikuwa wanazinguliwa malipo.

Mkuu hawa vijana wanatia huruma sana kwani hawajitambui wakati wenye akili washasoma alama za nyakati.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom