Rais Kikwete anaipenda CHADEMA!

Rais Kikwete anaipenda CHADEMA!

Ritz Lizabon ze
marcopolo wako bize leo kwenye kikao kujadili namna mpya ya kusafirisha
sembe kwani vijana wao wanakamatwa kila kona ya dunia sasa.

sijui una maana gani unavyoandika hivyo? au mnaanzisha mada ili kuchokonoa watu?
 
Linapokuja suala la kiuongozi jk siku zote ni muungwana
Uko sahihi kabisa. Amekuza demokrasia, uhuru wa habari, uhuru wa kutoa maoni kuruhusu mchakato wa kupata katiba mpya. Jk ni bomba
 
Nimekuwa kwenye msafara wa
ziara ya mh.rais kanda ya ziwa,ziara ambaya imemalizika jana na leo
rais anarejea jijini dar.
Katika ziara hiyo tumeshuhudia mambo mengi yaliyofanywa na rais lkn mimi
nimeibuka na moja kuwa RAIS WETU KIKWETE anaipenda Chadema.Dalili zipo
nyingi nitataja chache🙁1) Mkuu wa mkoa Ndikiro alimnyima Wenje(CDM)
nafasi ya kuwasalimia wananchi wake wa nyamagana lkn JK alimsimamisha
naye Wenje akiwa jukwaa kuu alisalimia waliokuwepo kwa salaam ya
makamanda nao wakajb(na jk akiwemo)poweeeeer...(2)JK alitumia muda
mwingi kuwasifu HIGHNESS na WENJE (wote wa CDM)kwa jitihada zao
kuwaletea maendeleo wapiga kura wao.Kwa sbb hizo na nyinginezo nyingi
nashawishika kuamini JK YUPO CCM KIMWILI lkn ROHO YAKE IPO CHADEMA.Wapi
Ritz,Zemacopolo,Lizaboni na buk 7 wote? njoo huku haraka nafasi zimebaki
chache.

JK ni Rais wa JMT na anafanya kazi na wadau wote wa maendeleo wakiwemo wabunge wa vyama vya upinzani. hivyo sishangai kama alimsimamisha wenje kusalimia wananchi kwani amekuwa akifanya hivyo kila anapotembelea jimbo lolote
 
mbona wamesha anza kukabidhi inchi? si uliona arusha, bukoba walishutuka wakasubiri 2015
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom